Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

bontana

Member
Mar 3, 2018
27
51
Habari wana Jf?

Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.

Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.

Mchango wenu wakuu
 
Habari wana Jf ? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu
Mchango wenu wakuu
Mkuu gari ni kulihudumia,

Zipo brevis au gx100 mpaka za 2.5m.

Ila ukianza kuwaza wese na matengenezo kichwa kinawaka moto.
Kuna watu wamekushauri vitz siyo mbaya kwa kuanzia maisha. Japo mimi naziogopa sana gari ambazo zina engines za peke yake.

Yaani gari gari haishei engine na gari nyingine, huo ni msalaba.

So kwenye Vitz achana na 1sz na uchukue 2sz, 2nz au 1nz.

Hiyo 1sz imetumika kwenye gari tatu tu duniani ambazo ni toyota yaris, echo na hiyo vitz.

Mswaki wa hiyo engine ni 1.8M, ikikufia unaweza paki ndani.

Kila la heri.
 
Nikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapana
 
Mkuu gari ni kulihudumia,

Zipo brevis au gx100 mpaka za 2.5m.

Ila ukianza kuwaza wese na matengenezo kichwa kinawaka moto.
Kuna watu wamekushauri vitz siyo mbaya kwa kuanzia maisha. Japo mimi naziogopa sana gari ambazo zina engines za peke yake.

Yaani gari gari haishei engine na gari nyingine, huo ni msalaba.

So kwenye Vitz achana na 1sz na uchukue 2sz, 2nz au 1nz.

Hiyo 1sz imetumika kwenye gari tatu tu duniani ambazo ni toyota yaris, echo na hiyo vitz.

Mswaki wa hiyo engine ni 1.8M, ikikufia unaweza paki ndani.

Kila la heri.
Asante sana Kwa maarifa haya mkuu......wazo jipya kwangu hili pia
 
Back
Top Bottom