NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
Wakuu wana JF, heshima kwenu woteeee!
Naomba mwongozo wenu juu ya tatizo langu.
Mimi ni mfanyakazi serikalini (mwalimu wa shule ya msingi - TGTS E, cheo changu ni Afisa Elimu daraja la kwanza, ninataka kuagiza gari kutoka japani lenye cost ya US.Dollar 8460 hapo linakuwa limefika DSM,kabla ya kulitoa bandarini/ushuru wa forodha!
Tatizo langu ni kuwa nataka kutumia kigezo cha utumishi serikalini ili nipate exemption ya ushuru wa forodha, sasa ikiwa mimi cheo changu ndio hicho hapo juu, na mwajiri wangu ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, kama mjuavyo sisi walimu wa kada ya chini:-
1. Nina-qualify kupata exemption ya ushuru wa forodha kwa ajili ya kuingiza gari nchini?
2.Kama na-qualify je hizo process nianzie wapi wakuu wangu, maana nina hamu na hiyo kitu/gari!
3. Mkurugenzi /mwajiri wangu hawezi niletea longo longo? na je mwongozo unasemaje juu ya hili tatizo langu?
NB:Wakuu wote wana Jf, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa nyote mtakao nisaidia ili kufanikisha hii azma yangu ya kumiliki hii gari amabayo kiu-ukweli nimeipenda sana!
ASANTENI SANA - NA KAZI NJEMA!
Wenu mpendwa,
Ngoswe.120