Punyeto na msongo wa mawazo vimeniangamiza naona mechi itakuja nishinda siku za usoni

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Habari ndugu zangu,

Kwa masikitiko makuu, mimi ndugu yenu mwenye uwepo wa wanawake wengi na mpigishwa punyeto na mpiga punyeto kwa muda wa miaka mingi sana sasa nimeteketea naombeni msaada wa haraka.

Nimeamua kutulia na mwanamke mmoja sasa na binti kanipenda sana wakuu na anapenda sana show ila ndiyo hivyo nimeshaangamia na sijui ni mweleze nini.

Ndugu yenu na rafiki yenu awali nilikua mwenye nguvu sana nikilala na wanawake kawaida na kuwapelekea moto hasa,

yapata sasa majuzi kuona kabisa uume umelegea baada yakutokukaza kisawa sawa na kuwa na stamina ya kumuhimili mpenzi wangu wakati wa mnyanduano, ndugu yenu hali ile ilinipelekea kushikwa na msongo wa mawazo wa ghafla na uume kusinyaa zaidi wakuu.

Mtoto wa watu alinilaumu sana na sijui kanichukuliaje japo kipindi cha nyuma nilikua na mpeleka sawa tuu ndugu zangu na anaridhika vizuri tuu.

Nakiri kwenu punyeto imelegeza uume wangu, hisia zangu juu ya mwili wa mwanamke akiwa na nguo na akiwa hana nguo vimefifia, uwezo wa kutambua harufu nzuri ya kike na kupata msisimko wa kimapenzi nao umepotea, hata nikipapaswa au kukumbatiana na mwanamke wangu kwa muda mrefu huku tukipiga romance uume wangu unachelewa sana kusimama yani naumia kwa kweli.

Ndugu yenu hizi siku mbili tatu pia ni kilala na nikishtuka usiku nakuta uume hata hauja sisimama nao umelala tuu na niwabaridi wakuu.

Nimepatwa na hofu wakuu , mrembo niliye naye ananipeleka mbio mbio na anataka nirudie naye mechi tena kwa kweli nimeshikwa na mfadhaiko sana naona kabisa hii mechi naenda kuharibu tena na sijui safari hii nitamwambia nini mpenzi wangu anielewe

Najuta sana kupiga punyeto, punyeto imeniharibu sana kisaikolojia na imenifedhehesha sana mbele ya mwanamke ninaye mpenda kwa dhati, sijui ni mwambie nini huyu binti, japo mwanamke anaonekana tuu kuridhika na mimi wakuu ila ninafeli sana kumpelekea moto kama awali.

Naombeni msaada wa haraka ndugu zangu, uume wangu umelegea na uwezo wa kusisimka kimapenzi umepotea , nikilazimisha sana kwa sasa ninaenda round moja na nina chukua robo saa (15dk) tuu kukojoa ila kurudia round ya pili nashindwa kabisa.

Nimechoka kumdanganya mwanamke ninayempenda kuwa nina umwa naona na mtesa mtoto wa watu kwani na yeye ananipenda kwa dhati na anateseka sana na kuumia sana moyoni mwake kuona nashindwa kumridhisha kutokana na tatizo langu la kulegea uume.

Imefikia mahali kanishauri ni tumie mchai chai na chai ya tangawizi ila naona siwezi kurecover haraka na yeye anataka ni mpelekee moto ndugu zangu.

Kwa kweli mwanaume mwezenu nipo matatani sana , mwanamke ananipeleka mbio na ni haki yake kufanya hivyo na ni mridhishe na sijui ni fanyaje wakuu. Naombeni mnisaidie mawazo ndugu zangu

Kaniambia anataka show na hapa nawaza sana na nimepoteza kujiamini kitandani mbele zake , japo anajitahidi kunitia moyo nijaribu tena na nijiamini ila kwa kweli nimeangamia na nimeshikwa na hofu moyoni naona kabisa naenda kuaibika tena

Niokoeni wataalamu wangu, ni saidieni ndugu zangu nimehangamia kweli ,

Asanteni
 
Dawa ya punyeto ni kuamua kuacha. Hakuna dawa nyingine mbadala. Kama ulizaliwa mzima basi utapona ukiacha. Kula vizuri fanya mazoezi. Ndani ya wiki utaanza kuona matokeo.
Sawa ndugu yangu, asante na aibika mpaka nalia machozi mbele ya mwanamke wangu , mwanamke ananipenda na nina mpenda sana ,

Udhaifu mkubwa sana huu mwanaume kutoa machozi mbele ya mwanamke ninaye mpenda, ni aibu sana na pitia . Japo binti anajitahidi sana kunifichia siri hii , na fedheheka kweli .
 
Sawa ndugu yangu, asante na aibika mpaka nalia machozi mbele ya mwanamke wangu , mwanamke ananipenda na nina mpenda sana ,

Udhaifu mkubwa sana huu mwanaume kutoa machozi mbele ya mwanamke ninaye mpenda, ni aibu sana na pitia . Japo binti anajitahidi sana kunifichia siri hii , na fedheheka kweli .
Ndo uache. Utakuta hapo umeandika uzi huku ukipiga punyeto.
 
We mwambie beby wako kuna demu mtaani alikutongoza ukamkatalia akasema utaona ndo matokeo unahisi hilo tatizo, la sivyo jipange ki saikolojia atapunguza genye pembeni hilo halina ubishi. Ukitaka kuacha rasmi PIGA cha mwisho mwisho tumia PAPAI
 
We mwambie beby wako kuna demu mtaani alikutongoza ukamkatalia akasema utaona ndo matokeo unahisi hilo tatizo, la sivyo jipange ki saikolojia atapunguza genye pembeni hilo halina ubishi. Ukitaka kuacha rasmi PIGA cha mwisho mwisho tumia PAPAI
Mkuu hilo papai unatumiaje kupiga nyeto ama hakika watu nyie ni WABUNIFU...mbususu bwerere unaanzaje kupiga nyeto jaman!
 
Hofu, Hofu, Hofu, ni mchawi mbaya San kwenye kunyanduana,, hapo nyeto umeisingizia tu.

Hii Huwa inatokea mfano ulikutana na Dem before mechi ikawa mbovu may be coz ya mawazo na reasons nyingine lanzima mechi ijayo uingie na hofu kwamba cjui Leo itakuwa kama Jana Dem atanizarau ukishaweka tu hayo mawazo kichwan ukiaza tu minyanduano Mzee bb(mb**) anakukataa analala kabsa Yani hata upekeche vp haamki hapa ndipo vijana wengi huanza kuangaika mara mkongo, mara Viagra na hapa ndipo wazee wa kuuza dawa za kiume huwapoteza zaid vijana wengi,

Kwahyo stage uliyofika usitumie dawa yyte Bali weka saikolojia yko vinzur na ikiwezekana tafuta mazi mwingine coz huyo uliye nae tayari ushajijengea saikolojia ya kushindwa hivo ukikutana nae mawazo ya kushindwa lazima yaje yakija tu Mzee bb anakukataa anashinyaa kabsa,, au ukikutana nae jaribu kufuta mawzo ya kushindwa means jifanye kama hamjawahi kukutana kabsa jambo ambalo ni gumu kidogo.

Hapo punyeto unaisinzia tu watu wanapiga nyeto mpka wapo kwenye ndoa still wakikutana na Dem anakimbia na chupi kashika mkononi.
 
Back
Top Bottom