Sam pizzo JF-Expert Member Sep 27, 2012 846 515 May 22, 2018 #1 wakuu naomba mnisaidie ku solve tatizo la randomly connecting and disconnecting niki plug smartphone kwa PC
wakuu naomba mnisaidie ku solve tatizo la randomly connecting and disconnecting niki plug smartphone kwa PC
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,752 39,904 May 22, 2018 #2 Sam pizzo said: wakuu naomba mnisaidie ku solve tatizo la randomly connecting and disconnecting niki plug smartphone kwa PC Click to expand... hio ni hardware issue. 1. port ya usb ya pc imelegea 2. waya wako sio mzuri 3. port ya simu imelegea. jaribu kuchomeka kwenye port nyengine kwenye laptop yako ama badili waya.
Sam pizzo said: wakuu naomba mnisaidie ku solve tatizo la randomly connecting and disconnecting niki plug smartphone kwa PC Click to expand... hio ni hardware issue. 1. port ya usb ya pc imelegea 2. waya wako sio mzuri 3. port ya simu imelegea. jaribu kuchomeka kwenye port nyengine kwenye laptop yako ama badili waya.
Sam pizzo JF-Expert Member Sep 27, 2012 846 515 May 22, 2018 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: hio ni hardware issue. 1. port ya usb ya pc imelegea 2. waya wako sio mzuri 3. port ya simu imelegea. jaribu kuchomeka kwenye port nyengine kwenye laptop yako ama badili waya. Click to expand... . Mkuu nimejaribu vyote imekataa
Chief-Mkwawa said: hio ni hardware issue. 1. port ya usb ya pc imelegea 2. waya wako sio mzuri 3. port ya simu imelegea. jaribu kuchomeka kwenye port nyengine kwenye laptop yako ama badili waya. Click to expand... . Mkuu nimejaribu vyote imekataa
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 6,958 6,076 May 22, 2018 #4 Sam pizzo said: . Mkuu nimejaribu vyote imekataa Click to expand... PC yako ni model gani? PC za kizamani huwa na tatizo hilo na linasababishwa na umeme unaopelekwa kwenye port.
Sam pizzo said: . Mkuu nimejaribu vyote imekataa Click to expand... PC yako ni model gani? PC za kizamani huwa na tatizo hilo na linasababishwa na umeme unaopelekwa kwenye port.
Sam pizzo JF-Expert Member Sep 27, 2012 846 515 May 22, 2018 Thread starter #5 Sumu said: PC yako ni model gani? PC za kizamani huwa na tatizo hilo na linasababishwa na umeme unaopelekwa kwenye port. Click to expand... Toshiba satellite ina run Windows 10
Sumu said: PC yako ni model gani? PC za kizamani huwa na tatizo hilo na linasababishwa na umeme unaopelekwa kwenye port. Click to expand... Toshiba satellite ina run Windows 10