Msaada wa haraka kuhusu randomly connecting and disconnecting

Msaada wa haraka kuhusu randomly connecting and disconnecting

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
910
Reaction score
625
wakuu naomba mnisaidie ku solve tatizo la randomly connecting and disconnecting niki plug smartphone kwa PC
 
wakuu naomba mnisaidie ku solve tatizo la randomly connecting and disconnecting niki plug smartphone kwa PC
hio ni hardware issue.
1. port ya usb ya pc imelegea
2. waya wako sio mzuri
3. port ya simu imelegea.

jaribu kuchomeka kwenye port nyengine kwenye laptop yako ama badili waya.
 
hio ni hardware issue.
1. port ya usb ya pc imelegea
2. waya wako sio mzuri
3. port ya simu imelegea.

jaribu kuchomeka kwenye port nyengine kwenye laptop yako ama badili waya.
. Mkuu nimejaribu vyote imekataa
 
Back
Top Bottom