Msaada wa haraka katika ufafanuzi wa hili neno

Msaada wa haraka katika ufafanuzi wa hili neno

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
496
Neno AFUA msaada kwa aneyelijua au afua stahiki
natanguliza shukran wanajf
 
Neno AFUA msaada kwa aneyelijua au afua stahiki
natanguliza shukran wanajf
Ikiwa ni kitenzi ni sawa na kusamehe (kutoka Kiarabu عفو ).

Kamusi yangu ya TUKI inasema pia sawa na "afya" (mwenyewe sikumbuki vile), "afua ni mbili, kufa na kupona"
 
Ni neno la kiswahili toka kwenye lugha ya kiarabu, maana yake ni kuomba msamaha yaani SAMAHANI. Maana nyingine ni afya (kuepuka maradhi)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom