Kwani mishangazi yako yooote kwenye hili wamekutenga , hawataki upate noleji πHabari Wamama naomba mnielekeze jinsi ya kupika Vinamba please πππππππ
View attachment 3551803
Monetary doctor
Fanya hima unipe ma deal mkuu mjini pazitoPole sana sema yule jamaa Jau sana dili zinakuja Kijana usiwaze
ππππππ Mwezi mwema huu nakiaje na mishangazi et...Kwani mishangazi yako yooote kwenye hili wamekutenga , hawataki upate noleji π
Relax mdogo ngoja mfungo uishe huuFanya hima unipe ma deal mkuu mjini pazito
Na ukioa asiyejua kupika? Kuoa sio suluhisho...Mshauri jamaa akajifunze mapishiUnataka kuandaa futari nini, Oa kaka usiwe unasumbuka na vitu kama hivi π
We jamaa wewe ππππRelax mdogo ngoja mfungo uishe huu
Jamaa alizingua sana juzi kanipa kazi nikamfanyia hata hela sikumdai Jana kanipa kazi sikuifanya nikamwambia siwezi kuacha kazi zangu za msingi nikufanyie wewe kazi zako zinazo kupa hela nyingi.We jamaa wewe ππππ
Mkuu kwanza upo hapa mjini sio...Jamaa alizingua sana juzi kanipa kazi nikamfanyia hata hela sikumdai Jana kanipa kazi sikuifanya nikamwambia siwezi kuacha kazi zangu za msingi nikufanyie wewe kazi zako zinazo kupa hela nyingi.
Jifunze na elewa ujuzi wa mtu unalipiwa pia
Sikilizia milio kwenye spika Kijana kuna balaa litatokea hapa watu watatemeka, mikakati inaendelea πππMkuu kwanza upo hapa mjini sio...
Na vipi.ile project yako ambayo niliikimbia ππππ
Aoe bana asitusumbueHivyo hata mie niliye 0 kwenye upishi najua vinavyopikwa ni unavichemsha kwenye moto mkali
Bro Evelyn Salt
Sis Carleen