Msaada wa haraka hii hesabu!!!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (Log... etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!!


2[SUP]x[/SUP]=4X

The answer is 4, sasa tatizo ni namna ya kuipata hiyo 4.
 

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
2tolee uchekechea wako.we chukua alama ya ukimwi kisha iandike kwa ulalo ndo correct answer.

Huna adabu! kama hujui kaa kimya. hujalazimishwa kujibu.

Na we kama ni mwanafunzi wa chuo, jihesabie umeshadisco kabla hata masomo hayajaanza. shenzi type!.
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,735
9,115
2^x =4x......log
log2 ^x=log4x.
Xlog2=log(2^2)X.
Xlog2=log(2^2)+logX.
Xlog2=2log2+logX
logX=Xlog2-2log2
logX=(X-2)Log2
X=(X-2)2
X=2X-4
4=2X-X
X=4.
 

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
2^x =4x......log
log2 ^x=log4x.
Xlog2=log(2^2)X.
Xlog2=log(2^2)+logX.
Xlog2=2log2+logX
logX=Xlog2-2log2
logX=(X-2)Log2
X=(X-2)2

X=2X-4
4=2X-X
X=4.

Heshima mkuu. lakini kwenye red hiyo sheria ni ipi hiyo!!. hiyo Log jinsi ilivyopotea hapo!!.

maana nilitegemea iwe:

LogX=(X-2)Log2
X=2[SUP](X-2)[/SUP] then uendelee kutoka hapo.

Hiyo sheria uliyotumia hapo juu, naomba ifafanue zaidi.
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,735
9,115
Heshima mkuu. lakini kwenye red hiyo sheria ni ipi hiyo!!. hiyo Log jinsi ilivyopotea hapo!!.

maana nilitegemea iwe:

LogX=(X-2)Log2
X=2[SUP](X-2)[/SUP] then uendelee kutoka hapo.

Hiyo sheria uliyotumia hapo juu, naomba ifafanue zaidi.

kaka hizo log zote zipo under base 10 sheria ya log base 10 inasemaje?
 

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
kaka hizo log zote zipo under base 10 sheria ya log base 10 inasemaje?

Sio ugomvi kaka, tuelimishane tu. kuwa log base 10 sidhani kama ni ishu, hata kama ingekuwa base 2 as long both logs on both sides have the same base.

kwa jinsi ninavyoona hapo hizo log umezicancel hapo kama number, kitu ambacho sidhani kama ni sahihi kwenye sheria za log. ndio mana nikaomba, kifupi sijawahi kuona hiyo kitu.

kama una uwezo zaidi wa kunieleza hiyo sheria nitashukuru. sidhani kama kwenye vitabu ipo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom