Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,724
- 9,176
Sio ugomvi kaka, tuelimishane tu. kuwa log base 10 sidhani kama ni ishu, hata kama ingekuwa base 2 as long both logs on both sides have the same base.
kwa jinsi ninavyoona hapo hizo log umezicancel hapo kama number, kitu ambacho sidhani kama ni sahihi kwenye sheria za log. ndio mana nikaomba, kifupi sijawahi kuona hiyo kitu.
kama una uwezo zaidi wa kunieleza hiyo sheria nitashukuru. sidhani kama kwenye vitabu ipo.
jamani sio ugomvi mpendwa wangu, halafu mimi sio kaka. Log base 10 huwa ni moja. Na ndio maana mwanzo wa calculation tuliapply log base 10. Moja ukizidisha kwa namba yoyote jibu huwa ni hiyo namba. Ukiona imeandikwa log na chini hujaekewa base ujue hiyo ni log base 10. Jaribu kuulizia ulizia kwa watu ila i hope nimekupa mwanga kidogo.