euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,741
- 4,081
Habari Wanajamiiforum ni kwamba Kuna smart nimenunua na katika matumizi yangu nilihtaji kuingiza document fulan kutoka kwenye kompyuta na nilipochomeka USB ikaja option ya kuchagua kama picha inavyionekana hapo chini.
But baada ya siku kadhaa nikijaribu kuchomeka tena USB kwa ajili ya kuhamisha au kuweka doc hailet Ile option na badala yake simu inajichaji tu hvyo naomben msaada wa setting ili nikichomeka USB Ile option ya kuchagua ije tena maana kama nahis Kuna sehemu nimekorofisha.