Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Naomben msaada wa hizo game (Msaada wa GTA VICE CITY NA GTA 5) kama kuna mtu ana mbinu na weza kuistall maana tatzo hapa ni Mb
Sifa hzi hapa mkuuVice city sawa ila kuhusu gta5 embu taja kwanza uwezo wa pc yako.
Na mb ngap kaka maana mmmh!! Bando ndio mchawi
Ok vice city bila shida utarun labda kwenye 5 yaweza kuwa utata ila labda waweza kwa low settings.
Gta 5 gb 50+ repack yake gb kama 30Na mb ngap kaka maana mmmh!! Bando ndio mchawi
Aaaanhhh?!!! Basi ngoja ni install vice city kaka itanitosha kucheza cheza mara moja mojaaOk vice city bila shida utarun labda kwenye 5 yaweza kuwa utata ila labda waweza kwa low settings.
Gta 5 gb 50+ repack yake gb kama 30
Vice city haifiki gb moja ina kama mb 500 hivi.
Ingia hiyo web hapo then search utaziona maelezo yake kila kitu na requirements.
Hongera, Naona ww huwa unalipia tu ma usd unashusha mizigo.😀Gamers wa bongo bhana yaan wanapenda mtelemko kishenz
Hongera, Naona ww huwa unalipia tu ma usd unashusha mizigo.
Vice city ya kitambo sana aisee hata graphics zake hovyo sanaAdante mkuu ngoja nianze tu na vice city harafu mengne haya nita songaga nikipataga watu wa kunirushia
Naomba unipe basi game kali kwasasa ndugu yangu maana ss tumeshikilia GTA tuVice city ya kitambo sana aisee hata graphics zake hovyo sana
Angalau GTA San Andreas ingawa nayo ya kitambo na graphics hovyo lakini ina unafuu
Mkuu GTA ni series ya game, zipo za zamani na za sasa kali balaaNaomba unipe basi game kali kwasasa ndugu yangu maana ss tumeshikilia GTA tu
Hongera, Naona ww huwa unalipia tu ma usd unashusha mizigo.
huyu ana nunua kutoka kiwandani kabisa ana order