Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

Umenikumbusha few years back nlkua natamba na Volkswagen Polo GTI..mnyama..ebwana eee alivoanza kunitia wenge...ilikua unafixi hiki kinazingua hiki, leo imezima..kesho haiwaki..ita mafundi wote mpaka wale wanaosifika ila wapii...mjerukani akianza wenge lake ni kama mtu yuko possesed with evil spirits..imenilaza porini mara 3..hainaga comeback na spea very expensive mpaka na mie nkawa fundi....ilifika mahala nkakata tamaa nkaiacha iozee uani tu..nkanunua mnyama crown athlete ya 2006 cc3000... amani nlioipata pale sio ya kifani nkaitumia miaka 3..nkahamia grs 200 ya 2009.. amani nnayoipata siwez hama crown leo wala kesho. Mjerumani sitaki hata kumskia

Mwanangu mmoja alkua na audi A4 nae same story ..akahamia huku crown hataki kumskia mjerumani

Nilichojifunza mjerumani ni mtamu sana tena sana... ila agiza japan tumia miaka miwili au mitatu kabla haijaanza wenge temana nalo vuta mwingine tena

Ila akina sisi unaagiza japan unakaa nalo miaka 5 au zaidi likianza mapicha picha unaeza kuwa kichaq

Top of that mjapan qna spares everywhere not hard na complex to fix, mjeruman on the otherside ni changamoto
 
Nishaacha ku deal na new Gen car owners. Wajuaji. Mtu anataka vitu bei rahisi halafu genuine(kwahio wanabaki kuuziwa box lenye nembo) hawa wanawezana wenyewe ndio maana unawaona humu wakilialia wakishaumizana.
Wateja wa spare za gari ndogo ni wasumbufu kama watoto wa chekechea. Mtu anakuja na bei yake kichwani, mimi siku hizi naona bora trucks na mitambo watu wanaelewa nini wanataka.
 
Top of that mjapan qna spares everywhere not hard na complex to fix, mjeruman on the otherside ni changamoto
Gari za mjerumani ziko complicated. Anacomplicate mambo kupata perfomance and efficiency ila anasababisha many breaking points
 
Mkuu mimi niliwahi nunulishwa vifaa almost milion na upuuzi pale gerezani haki kumbe shida ni plugs tu.... Na hizo plugs baada ya kujua ni shida nilinunulishwa kila aina ya plug. Kuna fundi alisema ni gearbox kidogo ninunue gearbox nyingine kumbe shida sio gearbox ni hizo hizo plug gari inatetemeka kama inakataa gear. Na hao ni mafundi wa garage maarufu hapa dar.
Fundi anaweza kufanya gari uichukie anakutia hasara na wala hajalim

😂😂😂😂 gari inatetemeka km ina kifafa?
 
Huwa naona landrover, benz na bmw nyingi pale Keko / kurasini nafikiri ni mafundi wazoefu.

Kimara stop over ile service road ya upande wa kuja mjini baada ya kuvuka kituo cha mafuta na kabla ya kufika kimara mwisho, mkono wa kushoto huwa kuna jamaa anatengeneza benz na bmw, nazionaga nyinginyingi pale.

Mikocheni, kuna yule jamaa anaitwa Jesse (Automax garage) nae huwa nasikilia yuko poa.
Zamani nilikuwa nikitengeneza gari yangu pale, Ni wazuri ila kwa sasa naona kama lile eneo halipo tena.
 
Back
Top Bottom