Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

Mafundi wa kibongo usipo kua makini wanaua gari yako. Na mbaya zaidi ukijifanya rafiki nae. Kuna siku nipo kwa fundi nikakuta kuna mteja kabla yangu nikasema nasubilia mpk umalizane na uyo. Kumbe mm nausoma mchezo wake kwenye ile gari mteja kaja na oil na filter na break pads zake zote mpya.Mteja akamwamini fundi Daaah nilicho shuhudia ni maafa au majanga ya kikatili kabisa. Uwezi amini fundi akubadilisha chochote kabisa kwenye ile gari. Kisha akachukua kadi ya service akamjazia kilometers 5000 tena kana kwamba kabadili.zile pads z zamani kapiga msasa tu. Kisha vile vitu kaenda kuuza dukani kwa bei ya hasara. Mteja kaja kalipa pesa za fundi kasepa zake.Gari linaenda kuua engine hv hv tu. Kwa njaa z fundi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
WaTz tunapenda kuishi bila mipango, mtu unatoka nyumban kwenda mjini kununua viatu ila ukifika mjini unaanza kununua viatu nguo machungwa mashuka mapazia, wakati lengo lilikuwa kununua viatu tu.
Nataka kusema kwamba, ulitoka na gari nyumban kwenda kubadilisha balljoints, umefika garage fundi anakujaza upepo ufanye service na vitu vingine ambavyo hukupanga, wewe nawe unajaa upepo unasahau mwenzako anakujaza ili aongeze kukupiga pesa tu na wakati huo huo si mtaalam wa aina ya gari yako.
Hadi kufika hapo gari umeiharibu kwa kuruhusu fundi akurekebishie vitu ambavyo havikuwa kwenye mpango wako. Mkae mkijua haya magari akina benz, subaru, audi, range, ford, mazda, outlander nk. Si kila fundi anaweza kuyagusa basi ukiruhusu ayaguse mwambie aishie kwenye kubadili matairi na taa tu.
Uko sahihi!!

Mimi niliacha mahali fulani karibu 3m kizembe sana kwa mtindo huohuo wa mafundi kulazimisha matengenezo ambayo hayakuwa kwenye mpango.
 
Mafundi wa kibongo usipo kua makini wanaua gari yako. Na mbaya zaidi ukijifanya rafiki nae. Kuna siku nipo kwa fundi nikakuta kuna mteja kabla yangu nikasema nasubilia mpk umalizane na uyo. Kumbe mm nausoma mchezo wake kwenye ile gari mteja kaja na oil na filter na break pads zake zote mpya.Mteja akamwamini fundi Daaah nilicho shuhudia ni maafa au majanga ya kikatili kabisa. Uwezi amini fundi akubadilisha chochote kabisa kwenye ile gari. Kisha akachukua kadi ya service akamjazia kilometers 5000 tena kana kwamba kabadili.zile pads z zamani kapiga msasa tu. Kisha vile vitu kaenda kuuza dukani kwa bei ya hasara. Mteja kaja kalipa pesa za fundi kasepa zake.Gari linaenda kuua engine hv hv tu. Kwa njaa z fundi.
Kazi ni kipimo cha utu
Hukumstua mkuu?
 
Daah pole sana Mkuu naumia sana kuona unapigwa hela nyingi kwa vitu ambavyo havina bei pia nipo SA natoka wiki hii kama utaambiwa vitu vya kununua nipe Vin na Engine number nikusaidie upate parts kwa bei yao Mercedes sio kubwa ntakusafirishia mpaka hapo maana jamaa wa daslm wana bei kama unarekebisha ndege..
Hiyo gari inataka mashine usitengeneze gari bila mashine kupita utanunua gari lote..
Mivinjeni kulikua na fundi sijui kama bado yupo huko niliwahi kumpelekea parts za Benz kitambo kidogo.
 
Mad Max ile Volvo niliipeleka jamaa wanifanyie checkup na kubadili balljoint, baada ya gari kukaa sawa, wakasema transmission oil imepungua, nikasita, nikawaambis ikipungua 4l haiwezi kwenda, wakalazimisha iongezwe, hadi hapa tunapoongea, gari imepaki haiendi.

Ni garage yenye jina kubwa sana iko maeneo ya Makumbusho.

Hapa bado natafakari hatua sahihi za kuona namna ya kuirudisha barabarani. Hapo kwenye hiyo garage ilitafunwa takribani 2.5M na gari iliyoenda iko sawa isipokua kugonga chini, imefia hapo.

Rafiki yangu nae ana Aud, ilienda na tatizo la leakage, hapa nnapoandika huu uzi, imeshabadilishwa vitu vingi na ndio maradhi yanaongezeka.
 
Dah pole sana mkali. Hizi gari za Ulaya inabidi uwe unajua unachoenda kufanya kwa fundi, na sio yeye ndio akuamulie.

Kwanini usianze kwa kupiga OBD diagnosis, hafu kisha itafute transmission sahihi ubadirishe kwa kuanzia hapo
 
Wale walivuruga sana kaka, na inavyoonekana walichanganya oili isiyo na kiwango. Sada hivi naona imeathiri torque converter, folk shift na zile selonoid, kwa ufupi gearbox ingine au hii hii ifanyiwe major repair itakayonigharim zaidi.

Kuna mafundi hua wanatoka Kenya, watanipa nini cha kufanya.
 
Mkuu mimi niliwahi nunulishwa vifaa almost milion na upuuzi pale gerezani haki kumbe shida ni plugs tu.... Na hizo plugs baada ya kujua ni shida nilinunulishwa kila aina ya plug. Kuna fundi alisema ni gearbox kidogo ninunue gearbox nyingine kumbe shida sio gearbox ni hizo hizo plug gari inatetemeka kama inakataa gear. Na hao ni mafundi wa garage maarufu hapa dar.
Fundi anaweza kufanya gari uichukie anakutia hasara na wala hajalim
Plugs mafundi wengi zinawashinda sababu hawajui namba sahihi ya plug zinazotakiwa kukaa kwenye gari husika. Mfano, gari la Toyota Ractis (2005), Plug yake original ni SK16HR11, sasa unakuta fundi anasema weka plug, kumbe kanunua SK16HR20, gari itakua inatetemeka mwanzo mwisho, na haina nguvu. Tujitahidi kutumia AI kuwasaidia mafundi angalau waache kubahatisha bahatisha
 
Ushauri wa kizushi, nawashauri wenye shida zinazoisumbua gari kwanza inatakiwa ugoogle tatizo tu hapo unapata mwanga nini tatizo na linahitaji nini. Kama unajua kizungu google forum za hio gari, then unaingia kwenye forums zao unaweka tatizo la gari yako, hapo unapata ideas za kulitatua kabla hujazuka kwenye gereji za daslama huku ukiwa unafahamu tatizo na jinsi litakavyotatuliwa. Mambo ya kwenda kwa daktari unaumwa mguu likatafutwa tatizo la kichwa. Hapana.
 
Mimi hua namtumia Azizi umeme yupo vizuri ,mwanzo nilikua na peleka Nduvuni ila wana bei balaah
 
Kwa kweli temana nayo hio
Ukiendelea itakuwa kama umefunga ndoa na gari, mahitaji yote mpaka kwenda saluni gari itaenda

Angalia bei zinavyouzwa UK, maana yake wanatafuta wa kumwaungushia jumba bovu

1788896611766.png

1788896634395.png

1788896657036.png
 
Umenikumbusha few years back nlkua natamba na Volkswagen Polo GTI..mnyama..ebwana eee alivoanza kunitia wenge...ilikua unafixi hiki kinazingua hiki, leo imezima..kesho haiwaki..ita mafundi wote mpaka wale wanaosifika ila wapii...mjerukani akianza wenge lake ni kama mtu yuko possesed with evil spirits..imenilaza porini mara 3..hainaga comeback na spea very expensive mpaka na mie nkawa fundi....ilifika mahala nkakata tamaa nkaiacha iozee uani tu..nkanunua mnyama crown athlete ya 2006 cc3000... amani nlioipata pale sio ya kifani nkaitumia miaka 3..nkahamia grs 200 ya 2009.. amani nnayoipata siwez hama crown leo wala kesho. Mjerumani sitaki hata kumskia

Mwanangu mmoja alkua na audi A4 nae same story ..akahamia huku crown hataki kumskia mjerumani

Nilichojifunza mjerumani ni mtamu sana tena sana... ila agiza japan tumia miaka miwili au mitatu kabla haijaanza wenge temana nalo vuta mwingine tena

Ila akina sisi unaagiza japan unakaa nalo miaka 5 au zaidi likianza mapicha picha unaeza kuwa kichaq
 
Back
Top Bottom