Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

Mafundi wapiga ramli wanakera sana, mi niliwahi nunulishwa gearbox kumbe shida no control box 😢
Mkuu mimi niliwahi nunulishwa vifaa almost milion na upuuzi pale gerezani haki kumbe shida ni plugs tu.... Na hizo plugs baada ya kujua ni shida nilinunulishwa kila aina ya plug. Kuna fundi alisema ni gearbox kidogo ninunue gearbox nyingine kumbe shida sio gearbox ni hizo hizo plug gari inatetemeka kama inakataa gear. Na hao ni mafundi wa garage maarufu hapa dar.
Fundi anaweza kufanya gari uichukie anakutia hasara na wala hajalim
 
WaTz tunapenda kuishi bila mipango, mtu unatoka nyumban kwenda mjini kununua viatu ila ukifika mjini unaanza kununua viatu nguo machungwa mashuka mapazia, wakati lengo lilikuwa kununua viatu tu.
Nataka kusema kwamba, ulitoka na gari nyumban kwenda kubadilisha balljoints, umefika garage fundi anakujaza upepo ufanye service na vitu vingine ambavyo hukupanga, wewe nawe unajaa upepo unasahau mwenzako anakujaza ili aongeze kukupiga pesa tu na wakati huo huo si mtaalam wa aina ya gari yako.
Hadi kufika hapo gari umeiharibu kwa kuruhusu fundi akurekebishie vitu ambavyo havikuwa kwenye mpango wako. Mkae mkijua haya magari akina benz, subaru, audi, range, ford, mazda, outlander nk. Si kila fundi anaweza kuyagusa basi ukiruhusu ayaguse mwambie aishie kwenye kubadili matairi na taa tu.
 
..

mkuu sio poa, na hao wenye majina ndo wanakutia hasara vizuri, mana unakuwa ushawaamini!
Mimi mpaka leo nimekuwa muoga kununua gari za mkononi, hiyo gari ilininyoosha haswaa!
 
WaTz tunapenda kuishi bila mipango, mtu unatoka nyumban kwenda mjini kununua viatu ila ukifika mjini unaanza kununua viatu nguo machungwa mashuka mapazia, wakati lengo lilikuwa kununua viatu tu.
Nataka kusema kwamba, ulitoka na gari nyumban kwenda kubadilisha balljoints, umefika garage fundi anakujaza upepo ufanye service na vitu vingine ambavyo hukupanga, wewe nawe unajaa upepo unasahau mwenzako anakujaza ili aongeze kukupiga pesa tu na wakati huo huo si mtaalam wa aina ya gari yako.
Hadi kufika hapo gari umeiharibu kwa kuruhusu fundi akurekebishie vitu ambavyo havikuwa kwenye mpango wako. Mkae mkijua haya magari akina benz, subaru, audi, range, ford, mazda, outlander nk. Si kila fundi anaweza kuyagusa basi ukiruhusu ayaguse mwambie aishie kwenye kubadili matairi na taa tu.
Hebu fikiria mkuu hivi. Unaamka asubuhi unahisi una homa na unaendesha sana. Unakwenda kumwona dokta unamwambia kuwa unataka dawa ya kukata kuendesha kwa sababu umegundua unaendesha sana.
Dokta anakupina anagundua pia una malaria inabidi ununue dawa ya malaria utakataa mkuu kwa sababu wewe ulichoona ni kuendesha.
Sasa kumbuka jamaa sio fundi yeye ni layman na alichokionq ilikuwa ni ball joints kwa sababu labda ziko wazi. Ila fundi kamwambia shida nyingine.
 
Wadau habari zenu,
Naomba kuulizia garage nzuri kwa gari ya Mercedes benz ukiachana na akina CFAO and co.
Gari yangu C class w204 ilikua free of problems nikawa namtumia fundi mmoja kwaajili ya services na vitu vidogo. Recently gari ilikua ina knock baada ya kuikagua hata mwenyewe niliona ball joints zimekufa. Fundi huyu akaja kunisaidia kuzibadili, lakini pia akagundua brake pads zimekaribia kuisha nikasema tuzibadili tu zote as a preventive measure.
Kuanzia hapo shida ya kwanza alipokua anafunga brake kwa maelezo yake ilikua hai-bleed ya upande mmoja mbele na baada ya kuhangaika nayo kwa siku 3(sikuwepo) akaniambia master cylinder imekufa hivyo tubadili. Ikabadilishwa brake zikawa vizuri lakini taa ya abs ikabaki licha ya jitihada za kufanyiwa calibration mara kadhaa mwisho akasema inawezekana module imekufa maana hats cruise control, run flat tyre na features zingine zilikua hazifanyi kazi tena sababu ya abs.
Few days tu baada ya kuitumia licha ya taa ya abs kuwaka ghafla ikazima na kukataa kuwaka akaja kuichukua maana nilikua nawahi kazini, baada ya kuiangalia wakaniambia ni SAM ya mbele kulia, tukaibadili kwa gharama kubwa. Ikapona kwa masaa ikawa inatembea lakini check engine ikawaka, na gari ikawa ina crank kwa muda kidogo ili kuwaka. Nikasema wacha nitafute garage nzuri maana hii ishakua shubiri. Niliporudi baada ya wiki kuwasha gari haiwaki kabisa ina crank tu, nikamuita aje aicheki ili ikiwaka ndo nitafute pa kuipeleka. Alipokua akasema fuel pump imekufa na this time alikuja na fundi mmoja maarufu tu😃. Ikabadilishwa, gari ikawaka na kutembea kama km 3 hivi kisha kuzima tena. Baada ya kuicheki na kufungua top cover now naambiwa gear zimelika sijui zinarusha chain, sababu ilikua ina leak oil pasipo kujua hivyo hiyo ndo shida na sio fuel pump nliyonunua almost 350k. Nimewambia wairudishe waipaki.
Sasa msaada wa garage nzuri tukaanze.

Nawasilisha.
Kama ni gari kubwa naweza kukusaidi mimi pia nifundi wa umeme wa magari hizohizo benz
 
Attachments

  • FF5C8C66-3DAB-4FB7-850C-FDFEA69C815F.jpeg
    FF5C8C66-3DAB-4FB7-850C-FDFEA69C815F.jpeg
    1.4 MB · Views: 4
WaTz tunapenda kuishi bila mipango, mtu unatoka nyumban kwenda mjini kununua viatu ila ukifika mjini unaanza kununua viatu nguo machungwa mashuka mapazia, wakati lengo lilikuwa kununua viatu tu.
Nataka kusema kwamba, ulitoka na gari nyumban kwenda kubadilisha balljoints, umefika garage fundi anakujaza upepo ufanye service na vitu vingine ambavyo hukupanga, wewe nawe unajaa upepo unasahau mwenzako anakujaza ili aongeze kukupiga pesa tu na wakati huo huo si mtaalam wa aina ya gari yako.
Hadi kufika hapo gari umeiharibu kwa kuruhusu fundi akurekebishie vitu ambavyo havikuwa kwenye mpango wako. Mkae mkijua haya magari akina benz, subaru, audi, range, ford, mazda, outlander nk. Si kila fundi anaweza kuyagusa basi ukiruhusu ayaguse mwambie aishie kwenye kubadili matairi na taa tu.
Mafundi wa kibongo ni changamoto.

Nilipeleka kwa ajili ya service ya Engine oil&Filter jamaa mara kaangalia ATF mara na hii tubadili,nikamwambia hiyo achana nayo haijafikisha hata 5000Km na ujazo upo vizuri.

Nafika home nafungua bonnet nakagua gari naona linavuja ATF karibu na radiator,kumbe jamaa alichomoa akalegeza hosepipe ya ATF inayoingia kwenye radiator ili ivuje iishe nirudi kwake.

Yaani tamaa ya 10K tu mtu anakuharibia gari lako,nisingegundua ingekuwaje?
 
Hebu fikiria mkuu hivi. Unaamka asubuhi unahisi una homa na unaendesha sana. Unakwenda kumwona dokta unamwambia kuwa unataka dawa ya kukata kuendesha kwa sababu umegundua unaendesha sana.
Dokta anakupina anagundua pia una malaria inabidi ununue dawa ya malaria utakataa mkuu kwa sababu wewe ulichoona ni kuendesha.
Sasa kumbuka jamaa sio fundi yeye ni layman na alichokionq ilikuwa ni ball joints kwa sababu labda ziko wazi. Ila fundi kamwambia shida nyingine.
Wewe endelea kuamini kila ushauri wa fundi, utakuja kulia nakuambia. Mimi haya mambo hayajawah kunikuta kwasababu kamwe sibadilishi kitu ambacho sijahisi kina shida, na nikitaka kubadili kitu lazima niingie Google nikisome hiko kifaa na gari lenyewe linatakaje, nikienda kwa fundi namuelekeza shida ilipo na tunashauriana sio ajiamulie mwenyew. Mafundi wa kibongo ni waharibifu wanataka pesa tu, nimeona watu wengi walia baada ya kufuata ushauri wa mafundi
 
Sometimes gari inakuwashia taa ya check engine. Ukiscan inakuletea error 4. Kumbe huenda error moja ndio chanzo cha nyingine zote lakini fundi nay hajui unakuta unanunua vitu kibao. Mimi plug zilifanya gari ilete errors kibao
 
Mafundi wa kibongo ni changamoto.

Nilipeleka kwa ajili ya service ya Engine oil&Filter jamaa mara kaangalia ATF mara na hii tubadili,nikamwambia hiyo achana nayo haijafikisha hata 5000Km na ujazo upo vizuri.

Nafika home nafungua bonnet nakagua gari naona linavuja ATF karibu na radiator,kumbe jamaa alichomoa akalegeza hosepipe ya ATF inayoingia kwenye radiator ili ivuje iishe nirudi kwake.

Yaani tamaa ya 10K tu mtu anakuharibia gari lako,nisingegundua ingekuwaje?

Mimi Fundi mmoja mshikaji wangu kabisa alinishangaza,gari ilinizingua kubadili gears nikapeleka garage nyingine maana ye alikua mbali. Kuicheki mafundi wanasema oyaa deepstick ya gearbox haipo na oil yenyewe hata tone hamna.How wkt mwezi November nilibadilisha ATF hio garage kwa mshikaji wangu. Nampigia simu anasema niliweka ATF hivyo hivyo bila deepstick. Tangu siku hio sitaki mazoea nae
 
Mafundi wapiga ramli wanakera sana, mi niliwahi nunulishwa gearbox kumbe shida no control box 😢
Mi simu tu miaka na miaka nimetumia bila tabu.
Nikapeleka kwa bi mkubwa sijui mawenge yake tu ooh inapata joto nikicharge.
Kapeleka kwa fundi hadi leo ndo kabisa haifanyi kazi.
Karudi kule kwenye tekno.
Mil 1.8 yangu imekwenda.
 
Wadau habari zenu,
Naomba kuulizia garage nzuri kwa gari ya Mercedes benz ukiachana na akina CFAO and co.
Gari yangu C class w204 ilikua free of problems nikawa namtumia fundi mmoja kwaajili ya services na vitu vidogo. Recently gari ilikua ina knock baada ya kuikagua hata mwenyewe niliona ball joints zimekufa. Fundi huyu akaja kunisaidia kuzibadili, lakini pia akagundua brake pads zimekaribia kuisha nikasema tuzibadili tu zote as a preventive measure.
Kuanzia hapo shida ya kwanza alipokua anafunga brake kwa maelezo yake ilikua hai-bleed ya upande mmoja mbele na baada ya kuhangaika nayo kwa siku 3(sikuwepo) akaniambia master cylinder imekufa hivyo tubadili. Ikabadilishwa brake zikawa vizuri lakini taa ya abs ikabaki licha ya jitihada za kufanyiwa calibration mara kadhaa mwisho akasema inawezekana module imekufa maana hats cruise control, run flat tyre na features zingine zilikua hazifanyi kazi tena sababu ya abs.
Few days tu baada ya kuitumia licha ya taa ya abs kuwaka ghafla ikazima na kukataa kuwaka akaja kuichukua maana nilikua nawahi kazini, baada ya kuiangalia wakaniambia ni SAM ya mbele kulia, tukaibadili kwa gharama kubwa. Ikapona kwa masaa ikawa inatembea lakini check engine ikawaka, na gari ikawa ina crank kwa muda kidogo ili kuwaka. Nikasema wacha nitafute garage nzuri maana hii ishakua shubiri. Niliporudi baada ya wiki kuwasha gari haiwaki kabisa ina crank tu, nikamuita aje aicheki ili ikiwaka ndo nitafute pa kuipeleka. Alipokua akasema fuel pump imekufa na this time alikuja na fundi mmoja maarufu tu😃. Ikabadilishwa, gari ikawaka na kutembea kama km 3 hivi kisha kuzima tena. Baada ya kuicheki na kufungua top cover now naambiwa gear zimelika sijui zinarusha chain, sababu ilikua ina leak oil pasipo kujua hivyo hiyo ndo shida na sio fuel pump nliyonunua almost 350k. Nimewambia wairudishe waipaki.
Sasa msaada wa garage nzuri tukaanze.

Nawasilisha.
Duuuh
 
Mafundi wa kibongo ni changamoto.

Nilipeleka kwa ajili ya service ya Engine oil&Filter jamaa mara kaangalia ATF mara na hii tubadili,nikamwambia hiyo achana nayo haijafikisha hata 5000Km na ujazo upo vizuri.

Nafika home nafungua bonnet nakagua gari naona linavuja ATF karibu na radiator,kumbe jamaa alichomoa akalegeza hosepipe ya ATF inayoingia kwenye radiator ili ivuje iishe nirudi kwake.

Yaani tamaa ya 10K tu mtu anakuharibia gari lako,nisingegundua ingekuwaje?
Duh Mkuu sasa kwa mtindo huo hawa mafundi itabidi uwasimamie,, Mambo gani haya aisee!!! ,ndio maana Watu wanasema gari ikienda garage badala ya kupona inarudi na homa nyingine wahuni sana.
 
Mimi Fundi mmoja mshikaji wangu kabisa alinishangaza,gari ilinizingua kubadili gears nikapeleka garage nyingine maana ye alikua mbali. Kuicheki mafundi wanasema oyaa deepstick ya gearbox haipo na oil yenyewe hata tone hamna.How wkt mwezi November nilibadilisha ATF hio garage kwa mshikaji wangu. Nampigia simu anasema niliweka ATF hivyo hivyo bila deepstick. Tangu siku hio sitaki mazoea nae
Duuuuh uhuni wa kiwango cha lami,,an hawana huruma kabisaaa na gari ya mtu na mfuko wake bongo nyoso *****
 
Kuna gearbox hazina dipstick.

Back
Top Bottom