Msaada wa frequency za Abu Dhabi Sports channel

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana wa familia ya JF mambo vipi??
Tafadhalini naomba msaada kwa wanaofahamu Satellite/Frequency/na Symborate za hii chaneli ya AD Sports inaonyesha ligi ya uingereza live tena bure na WWE live kuna sehemu niiona nikiwa safarini.
 
Ni lazima uwe na Decoder ya AbudhabSports na uwe umeilipia!!!
Malipo yao ni mwaka mzima; kiasi cha US$ 100.
 
Adu Dhabi Sport

satelite -Hotbird
Frequency 11623 v 27500

Satelite-Bird
Frequency 11804 H 27500

Satelite-Nilesat 102 Egypt
Frequency 12054 V 27500

Satelite-Nilesat201 Middle East
Frequency 12092 V 27500
 
Ni member humu jf

Mkuu nimeona nia yako njema ya kusaidia, ila umeishia juu juu sana. Kufahamu tu kuwa jamaa yumo humu haitoshi.
At least ungeweka contact za uhakika, coz kama kweli jamaa yupo humu anaweza akawa ana tumia ID tofauti.

Lakini pia kama kweli jamaa yumo humu, si angeishakuwa amejitokeza kujibu hoja hii?
 
Decoder ya ADSPORT inapatikana Dar bei yake ni wastani wa sh. 550000 ikiwa na malipo ya mwaka mmoja.Vile vile unaweza kununua Card ya Al Jazira Sport ukaitumia kwenye hiyo decoder kwani inauwezo wa kutumia kadi mbili kwa wakati mmoja.

Kama upo mbali na Dar unatakiwa kuwa na Dish kubwa mpaka sm 240 ili uweze kukamata signal za ADSPORT .Beam yao inatakiwa kuishia Somalia.
 
Adu Dhabi Sport

satelite -Hotbird
Frequency 11623 v 27500

Satelite-Bird
Frequency 11804 H 27500

Satelite-Nilesat 102 Egypt
Frequency 12054 V 27500

Satelite-Nilesat201 Middle East
Frequency 12092 V 27500
Mkuu kwa hz frequency unatumia LNB za aina gani?
 
Decoder ya ADSPORT inapatikana Dar bei yake ni wastani wa sh. 550000 ikiwa na malipo ya mwaka mmoja.Vile vile unaweza kununua Card ya Al Jazira Sport ukaitumia kwenye hiyo decoder kwani inauwezo wa kutumia kadi mbili kwa wakati mmoja.

Kama upo mbali na Dar unatakiwa kuwa na Dish kubwa mpaka sm 240 ili uweze kukamata signal za ADSPORT .Beam yao inatakiwa kuishia Somalia.

Hata mimi nimeulizia bei Mwanza nimeambiwa hiyohiyo ya 550000 pia unatakiwa utumie dishi la futi nane la bati.Halafu niliona kwenye box la hiyo risiva imeandikwa kuwa imekwishalipiwa mwaka mmoja sasa swali langu ni mwaka mmoja tangu itengenezwe au mwaka mmoja tangu uanze kuitumia.
 
Back
Top Bottom