NEMEZIZ
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 563
- 337
Kwenu wanabodi nimekuwa nikijaribu kutafuta zile frequency za kupata free channel kama CAM(chaneli ya kichina Africa), Dubai sports n.k nimekuja kuomba msaada kama kuna wajuzi wa kupata zile frequency maana nasikia zinapatikana kwenye decoder za kwanza kbisa.