msaada wa encarta please

msaada wa encarta please

encarta yangu 2009 ni 3gb ipo full sasa unaposema kwa email mnh 3gb nyingi kaka bora ungesema upo eneo gani wadau wa eneo hilo wangekusaidia
 
dah! nimekupata mkuu but nipo Mbeya.
NGOJA NISUBIRI WADAU WENGINE
 
Encarta zote ni kubwa sana kutuma kwa email...above 3gb bora wa mbeya wakuletee
 
encarta yangu 2009 ni 3gb ipo full sasa unaposema kwa email mnh 3gb nyingi kaka bora ungesema upo eneo gani wadau wa eneo hilo wangekusaidia

haha, nimeingia ndani ya hii thread basi tu nione anavyo expect kurushiwa encarta
 
Mi nina encarta 2008 nipo Tukuyu wewe upo wapi mabeya mjini au kama uko mbeya mjini nicheki kwenye 0712-752544 nikuunganishe na jamaa yangu yupo hapo nadhani yeye ana 2009
 
hivi winrar kazi yake ni nini jaman

ku extract files ambazo zimefungwa mfano:unapodownload files kwenye net kuna zngne zimeandikwa ZIP so kaz ya winrar ni kufungua files hizo
 
Ninayo ya zamani (2004) kwenye cd lakini ni kubwa mno wala huwezi kuattach!!!!!
 
mi naweza kuicompress hadi kb 100 hivi na kgb but itai extract zaidi ya siku
 
hope hata hiyo link itanisaidia nitumie mkuu.
 
Back
Top Bottom