Msaada wa dawa ya mafua kwa watoto wadogo

Msaada wa dawa ya mafua kwa watoto wadogo

me sio dr.lakn nna watoto pia so matatizo ya watoto nayafaham...nlishawah kushauriwa na dr.wa watoto akanambia nichukue maji ya uvuguvugu unayachonvya kwenye kitambaa then unamkandia kandia puan na eleo lililomzunguka then unachukua maji mengine yenye uvuguvugu kwa mbaali sana then unayatia vijichumvi pia kidogo sana unamtia tone moja kila kwenye tundu ya pua..unamfanyia ivo asbh na wakat wa kulala kwa mda wa siku tatu...ucku akilala mpake viksi chini ya nyayo kiasi tu then mvalishe na soksi Mungu atamsaidia! me mtoto wangu ananisumbua sana pia vile nmwjifungua tu ndan ya masaa kadhaa anapiga chafya mafua yanambana! hebu jaribu hiyo

Umenena VEMA SANA MKUU. Let me Try This at Home
 
me mtoto wangu ananisumbua sana pia vile nmwjifungua tu ndan ya masaa kadhaa anapiga chafya mafua yanambana! hebu jaribu hiyo
Kwanza pole sn. Kwaiyo baada ya kutumia iyo tiba ulinambia Mtot wako anaendeleaje? Imemsaidia??
 
Watoto hawana dawa kali za mafua labda kama kapata infection kali virus au bacteria flani ndipo madaktari wanaweza mpa anti biotic kali. Najua kama mzazi unaumia zaidi pale pua zinapo ziba especially usiku na anashindwa kunyonya. Sometimes mtoto anakua na kamasi puani kwa ndani halafu unashindwa jinsi ya kuzitoa na hawezi kupenga.

Hospital utapewa syrup na dawa ya matone kulainisha kamasi ili zitoke kirahisi na ndiyo tiba pekee. Jaribu kumpaka vitunguu swaumu au Vicks kwenye nyayo ila unitumie dawa ambazo hazija thibitishwa na daktari. Pia fanya sana maombi
 
Hiki kifaa kinaweza kuwa suluhisho kwako. Special kwa kunyonyea kamasi kwenye pua za watoto.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-13-07-44-34.png
    Screenshot_2016-08-13-07-44-34.png
    29.4 KB · Views: 451
  • Screenshot_2016-08-13-07-44-49.png
    Screenshot_2016-08-13-07-44-49.png
    53.9 KB · Views: 398
  • Screenshot_2016-08-13-07-43-57.png
    Screenshot_2016-08-13-07-43-57.png
    37.9 KB · Views: 368
  • Screenshot_2016-08-13-07-44-41.png
    Screenshot_2016-08-13-07-44-41.png
    14 KB · Views: 370
me sio dr.lakn nna watoto pia so matatizo ya watoto nayafaham...nlishawah kushauriwa na dr.wa watoto akanambia nichukue maji ya uvuguvugu unayachonvya kwenye kitambaa then unamkandia kandia puan na eleo lililomzunguka then unachukua maji mengine yenye uvuguvugu kwa mbaali sana then unayatia vijichumvi pia kidogo sana unamtia tone moja kila kwenye tundu ya pua..unamfanyia ivo asbh na wakat wa kulala kwa mda wa siku tatu...ucku akilala mpake viksi chini ya nyayo kiasi tu then mvalishe na soksi Mungu atamsaidia! me mtoto wangu ananisumbua sana pia vile nmwjifungua tu ndan ya masaa kadhaa anapiga chafya mafua yanambana! hebu jaribu hiyo
I like this. Ubarikiwe sn
 
utaua mtt ww,miti shamba tu hapa hamna lolote.Acha uvivu nenda hospitali...
Mimi nimeshindwa kuelewa jinsi gani kitunguu swaumu iliyopakwa kwenye unyayo wa mtoto inavyofanya kazi ya kutibu mafua.

Au wanapona kwa imani..?
 
Inashauriwa kutozoea kumpa madawa ya Kifua/mafua mtoto mwenye umri huo ingawa ukiona yanazidi sana kuna dawa inaitwa SALIN ni kama kitube hivi unakamulia kitone kimoja kimoja kwenye pua. Ni mchanganyiko wa chumvi na maji hiyo dawa nasikia ila ilimsaidia sana mwanangu.

Kuhusu Homa, Daktari aliniambia siyo kila homa ni mbaya. Ni mwili unakuwa katika harakati za kujikinga kwa hiyo joto lile kuna wakati ndiyo msaada wa mwili katika kupambana na Virus.

Unatakiwa kuwa na thermometer ili ikusaidie kufuatilia joto la mtoto lisizidi 38 likizidi kuna dawa inaitwa TOTOMOL ndiyo huwa tunampatia mwanangu.

Kingine muhimu hakikisha usafi katika chumba cha mtoto uwe wa kiwango cha juu na hewa iwe inaingia vizuri ndani ya chumba mnacholala na mtoto.

Mimi siyo mtaalamu ila nimekuelezea kutokana na kauzoefu kadogo maana hizo shuruba nazijua si kidogo.

Nakushauri uwaone Madaktari kwa msaada wa uhakika zaidi. Mimi huwa nampeleka Mwanangu katika Hospital ya SANITAS Mikocheni DSM wana Madaktari maalum wa watoto ni wazuri sana.

Mwanzo ilikuwa gharama sana kumuona Daktari tu 40,000 lakini nikaamua kumkatia mwanangu Bima ya NHIF Inaitwa TOTO AFYA KADI kwa Tsh 50,000 tu sasa hivi nateleza tuuu. Ni muhimu sana hiyo bima mkuu uwe nayo.
 
Back
Top Bottom