Msaada wa dawa ya mafua kwa watoto wadogo

Msaada wa dawa ya mafua kwa watoto wadogo

me sio dr.lakn nna watoto pia so matatizo ya watoto nayafaham...nlishawah kushauriwa na dr.wa watoto akanambia nichukue maji ya uvuguvugu unayachonvya kwenye kitambaa then unamkandia kandia puan na eleo lililomzunguka then unachukua maji mengine yenye uvuguvugu kwa mbaali sana then unayatia vijichumvi pia kidogo sana unamtia tone moja kila kwenye tundu ya pua..unamfanyia ivo asbh na wakat wa kulala kwa mda wa siku tatu...ucku akilala mpake viksi chini ya nyayo kiasi tu then mvalishe na soksi Mungu atamsaidia! me mtoto wangu ananisumbua sana pia vile nmwjifungua tu ndan ya masaa kadhaa anapiga chafya mafua yanambana! hebu jaribu hiyo
Yes hii njia nzuri pia
 
Naviponda nampaka kwenye nyayo mimi nilikwepa kabisa kumpa mtoto wangu dawa za hospitali alikuwa Na afyaa njema Na sikuwahi kuuguliwa sana ni mafua mafua nashukuru sana sasa ni msichana anakimbia shule
Unampaka Mara ngapi kwa siku. Na baada ya muda gani au ni daily.
 
Pole sana, tafuta viski, chemsha maji ya moto 100% weka kwenye beseni au chombo kikubwa, weka viski kwenye hayo maji, ukiwa ndani na mtoto mmejifunika gubigubi kaa dakika chache mvuke uwapenye mwili wote yataisha mafua, pua zitafungua
Jamani huyu mtoto mchanga ...
Asije akaua bure...
Maana nafikiria hata huyu aliyeshauri vitunguu swaumu...
Vitunguu ni vikali...ngozi ya mtoto inaweza babuka akimpaka...

Dawa za asili kwa mtoto mdogo sana nazo zaweza leta madhara

Atafute doctor bingwa wa watoto...
Isije kuwa mtoto wake ana asthma
 
Mwanangu aliugua mafua toka kuzaliwa kwake mpaka mwaka mmoja na nusu, Kila aina ya dawa nimetumia,
Mwisho alikuja kupona kwa hii dawa
Cetirizine syrup, toka ametumia hii dawa leo miezi 8 hajaugua mafua tena,
Kingine jitazameni wazazi au watu wanaombeba wasiwe wanapaka pafyum au spray yyte, pia lotion zenye harufu kali hazifai, wakati wa kulala msipake body spray kabisa,
 
Unampaka Mara ngapi kwa siku. Na baada ya muda gani au ni daily.
asubuhi na usiku kiasi kidogo tu jitahidi sana kutompa mtoto sawa za hospital...........................ni sumu mbaya kama unaweza jifunze adawa za asili... asali na vinginevyo
 
Daaa mafua kwa watoto ni shida jamani Mimi mwenyewe usiku silali hapa manake mtoto wangu ana wiki tu akitaka kulala tu anapata shida kwenye kupumua hivyo anaamka na kuanza kulia. Puani ni kama ana makamasi mazizo kutoka hayatoki,sijui hata nifanyaje mana kwangu ni shida na kwake ni shida
 
Kama mtoto anamafua hayatoi kamasi na umetumia dawa nyingi bila mafanikio nunua dawa hii.
 
Lorata au citrizen syrup
sawa asante pia haka katoto kana hema kwa shda sana na kakikohoa kitovu kinajaa(kitovu chake hakikuzibaga vzuri ), pia akilia anatumia nguvu sana kama vile kuna ktu kinamkera.
 
sawa asante pia haka katoto kana hema kwa shda sana na kakikohoa kitovu kinajaa(kitovu chake hakikuzibaga vzuri ), pia akilia anatumia nguvu sana kama vile kuna ktu kinamkera.
Hospitali wamesemaje mkuu isije ikawa ni pumu
 
Back
Top Bottom