Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

Mkuu na mimi hii kitu ilikuwa inanisumbua nikagundua umri umesonga inabidi nikubali matokeo na niwe tayari kurudi kwa muumba sitakaa nione nywele nyeusi tena kichwani.NI kweli inabidi nikubali
 
Hebu nipe umri wako kwanza isije ikawa kilometer zimesogea unataka kuzirudisha ili uendelee kuwadanganya mabinti zetu
 
si ukapake super black hata kwenye salon mbalimbali zipo?
nilisikia mvi ikikuota ukiing'oa ndo zinajaa! mi nnazo 3 nimeziacha hvyohvyo! 😀 😀 😀
 
Kioo hakidanganyi mmnmnh mmmnhhng Genetic ndo uko hivyo labda uhamie superblavkc hair colour
 
Habari wandugu!

Mimi ni kijana wa miaka 27 ila mpaka sasa kichwani kumekuwa na mvi nyingi sana na kwenye kidevu. Bado sijajua tatizo ni nini?

Naombeni mnisaidie dawa kama ipo mana zinazidi kuongezeka. Kama dawa ipo au vyakula vipo nitashukuru sana.

Thanks wakuu
ndo uhenga wenyewe ..............
 
mvi zinakusumbua kivipi kwani zinawasha? Nyie ndio mnasemaga uzee mwisho Chalinze
 
Huyu mzee ana miaka 93 mvi hazionekani lakini ww una miaka 27 tu zimesha jaa



Hizo mvi zako siyo ugonjwa itakuwa umeridhi/genetics... Sijui ndiyo hivyo...

Kuna dogo ana miaka kumi na sita ila kichwani anamvi kama za Lowassa...
Robert_Mugabe_May_2015_(cropped).jpg
 
Hata nature unaita tatizo. Kwani unapata homa sababu ya mvi?relax ndg ndo maisha. Mbona ww huna ulemavu wa miguu yamkini?kuna wenzako wanasota chini kufanya mwendo sembuse mvi?
 
Mvi sio uzee ila uzee utazikuta mvi zangu hapa kichwani kwangu ikitokea zipige kura Kati ya nyeusi na nyeupe yeusi zitashindwa kwa kishindo sana maana Kichwa ni mseto kidefu ndio do nikiacha naitwa babu bila shida nimeridhika nazo japo hata 40 cjagusa atakae niona mzee na abisalimie tuu atakaekuwa mjanja akabaini siri tutaenda sawa kama kawaida
 
Paka dawa bana wewe bado mdogo sana,miaka 27 bado ni kijana...
 
Stress za maisha pia inafanya watu wawe ma mvi au kipara. Punguza stress bro.
 
mi naomba kuuliza tu nyie wenye mvi? hivi mvi huhuka mpaka kule mashariki ya mbali?
 
Back
Top Bottom