Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Kuna uzi niliweka humu juzi.. Una upungufu wa madini ya vitamin B.. Nenda famasi ukanunue vidonge vya Vitamin B complex unywe kwa mwezi mmoja mfululizo.. Nitafute kwa feedback.
Duuhmanii
Mkuu za ukoo mkuu, nina 40 tu chief hahahamkuu kwa nini usikubali tuu matokeo,mvi nazo zinapendeza ukishafika umri fulani,ukiweka mfano piko wakati hta age imeshasonga mbona unaonekana kabisa kuwa huyu mzee umri ulishamtupa mkono ila analazimisha tuu aonekane bado asubuhi,kila stage ina mambo yake
[emoji46]manii
Labda nikuambie tu mara nyingine mvi haina uhusiano na umri. Nimeshaona baba mmoja ana miaka 60 lakini hana mvi hata mmoja. Nimeshaona kijana wa miaka 20 ana mvi na watu wengi wanampa shikamoo. Mimi sidhani wanaotumia dawa wanaficha umri. Wengi wanaficha ile hali ya ''kuonekana'' na kuwa marked kwa haraka. Mtu mwenye mvi anakuwa kama mtu anayependa kuvaa manguo ya kung'aa ng'aa!mkuu kwa nini usikubali tuu matokeo,mvi nazo zinapendeza ukishafika umri fulani,ukiweka mfano piko wakati hta age imeshasonga mbona unaonekana kabisa kuwa huyu mzee umri ulishamtupa mkono ila analazimisha tuu aonekane bado asubuhi,kila stage ina mambo yake
Duuuhmanii
Ule ukanda Wa karatu na mbulu mbona wao hawahangaiki Nazi na wako fresh tu, vijana na wazee wanajulikana!Mkuu za ukoo mkuu, nina 40 tu chief hahaha
Hahah! Wadau wamevurugwaDuuuh
hahahah mkuu umeukubali ukoo mbnona unazkataa mvi za ukooMkuu za ukoo mkuu, nina 40 tu chief hahaha
Picha mkuu hahahahivi mtu unaogopa kuwa na mvi kwa nini, zinauma huko kichwani? zinasababisha ukosefu wa nguvu za kiume hapana. sasa kwa nini watu wanaogopa kuwa na mvi. mi ninazo toka nipo form two na sijawahi hata kuzifikilia na huwa naacha afro yangu kwa raha zangu. tujifunze kukubali maumbile yetu, kama una pua kubwa ipende, kama una kipara kipende na kama una mvi zipende na zikubali tu.
mkuu angalia vi mshua vingi vinavyotumia hizi kitu yaani vinapaka just kuukataa umri,vingi ni vizee vya totoz hatar na ving hata shikamoo havitaki,vinakataa,wazee au watu wenye busara wala hata huwa hawaumizwi na mvi wanachukulia ni kitu cha kawaida tuuLabda nikuambie tu mara nyingine mvi haina uhusiano na umri. Nimeshaona baba mmoja ana miaka 60 lakini hana mvi hata mmoja. Nimeshaona kijana wa miaka 20 ana mvi na watu wengi wanampa shikamoo. Mimi sidhani wanaotumia dawa wanaficha umri. Wengi wanaficha ile hali ya ''kuonekana'' na kuwa marked kwa haraka. Mtu mwenye mvi anakuwa kama mtu anayependa kuvaa manguo ya kung'aa ng'aa!