Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

Huyu mzee ana miaka 93 mvi hazionekani lakini ww una miaka 27 tu zimesha jaa

Hizo mvi zako siyo ugonjwa itakuwa umeridhi/genetics... Sijui ndiyo hivyo...

Kuna dogo ana miaka kumi na sita ila kichwani anamvi kama za Lowassa...
Robert_Mugabe_May_2015_(cropped).jpg
Mugabe anaweka super black
 
Naomba yeyote mwenye dawa ya kuondoa mvi anijulishe kupitia humu malipo hayatakuwa na shida.
Unaondoa mvi ili iweje,ulipokuwa Mtoto kuna some parts of your body ilikuwa haina nywele,mbona hujaomba dawa ya kuondoa hizo nywele,Fahari ya mzee ni kichwa chenye mvi wewe hutaki hiyo maana ni maelezo ya Mungu mwenyewe.
 
mkuu angalia vi mshua vingi vinavyotumia hizi kitu yaani vinapaka just kuukataa umri,vingi ni vizee vya totoz hatar na ving hata shikamoo havitaki,vinakataa,wazee au watu wenye busara wala hata huwa hawaumizwi na mvi wanachukulia ni kitu cha kawaida tuu
I think is is just your wrong observation. Bongo demu atamkataa kidume kwa kuwa kina mvi? Thubutu! Kinachoongea ni pochi tu. Wewe na minywele yako mweusi tii utapigwa teke na demu atamkimbilia mwenye mvi. Kuna wazee wengi nawajua wenye mvi kichwa kizima lakini kwa totoz ni hatari na wanabadilisha kila siku!
 
Unaondoa mvi ili iweje,ulipokuwa Mtoto kuna some parts of your body ilikuwa haina nywele,mbona hujaomba dawa ya kuondoa hizo nywele,Fahari ya mzee ni kichwa chenye mvi wewe hutaki hiyo maana ni maelezo ya Mungu mwenyewe.
Kwani unaponyoa nywele unataka iweje? Watu wanataka kuonekana smart na si vinginevyo! Wewe bado una zile mila za kale ambazo nyingi mimi huwa naona hazina maana yoyote!
 
Watu tupo tofauti mimi nazipenda kweli tena saaanaa
 
Mkuu jitahidi kila siku upake juice ya kitunguu maji uchanganye na ndimu baada ya muda mfupi OSHA nywele yako then pakaa mafuta ya habbat soda yale ya nywele baada ya mwezi hutaziona mvi tena jaribu hiyo itakusaidia.
 
hivi mtu unaogopa kuwa na mvi kwa nini, zinauma huko kichwani? zinasababisha ukosefu wa nguvu za kiume hapana. sasa kwa nini watu wanaogopa kuwa na mvi. mi ninazo toka nipo form two na sijawahi hata kuzifikilia na huwa naacha afro yangu kwa raha zangu. tujifunze kukubali maumbile yetu, kama una pua kubwa ipende, kama una kipara kipende na kama una mvi zipende na zikubali tu.
Hawataki shikamo za mabinti warembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa zipo tena za asili - kama hujui jambo usi-conclude kwamba hakuna dawa.
 
Back
Top Bottom