Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

Habari,

Mi ni kijana, ninayefanya kazi katika kampuni yangu binafsi,

Sina umri mkubwa ila nimeanzaa kuota mvi kwa mbali toka npo chuo,

Ila naona kwa ss znaanza kuongezeka,

Naomba ushauri wenu ili miweze kizidhiti,
Kwani sizipendi na zinanifanya niwe nanyoa nywele mara kwa mara..

Maoni yenu tafadhali.
Babafetty,

Kuna three solutions.

1. Nenda SH Amon. Kuna dawa unapaka, after every six weeks. Ni kama dye. Hutaona mvi, lakini lazima utumie color shampoo baada ya siku tatu. Japo ni gharama, nadhani ni elfu 30 hivi. Sikumbuki jina lake, lakini kuna neno, only for black men. Wahudumu watakuelekeza.

2. Kuna Restoria Disctreet. Haya ni mafuta ya lotion ya nywele. Lakini kabla ya kupaka hakikisha umekausha maji yote kichwani, lakini pia hakikisha unakaa juani kwa muda wa dakika kumi na tano ili dawa iingie kwenye roots.

3. Tumia American molasses kila siku kijiko kimoja. Kwa neno la uswahilini, hii ni sukari guru kwenye mfumo wa kimiminika. Itafute kwenye big supermartkets kama village supermarket masaki. Matokeo utayaona baada ya miezi au mwaka. Kwa sababu molases ina iron, calcium kwa wingi, pamoja na vitamin. Hii husaidia nywele kuwa nyeusi daima.
 
Mkuu hiyo inasaidia tu wenye mvi au hata wenye nywele za kahawia[emoji15] [emoji15] [emoji134] ..??
 
Molasses husaidia nywele zibaki kwenye rangi yake. Tatizo kubwa huwa, una nywele nyeusi halafu zinaanza kuwa grey. Molasses hufanya nywele zibaki nyeusi.

Yule mchezaji wa man u wayne roon ukimpata atakupa ushauri mzr la sivyo endelea kupaka super black
 
Habari,

Mi ni kijana, ninayefanya kazi katika kampuni yangu binafsi,

Sina umri mkubwa ila nimeanzaa kuota mvi kwa mbali toka npo chuo,

Ila naona kwa ss znaanza kuongezeka,

Naomba ushauri wenu ili miweze kizidhiti,
Kwani sizipendi na zinanifanya niwe nanyoa nywele mara kwa mara..

Maoni yenu tafadhali.
Nyoa nywele zako uwe kipara kisha kila siku asubuhi kula punje 1 ya kitunguu Saumu kadri zitakapo ota nywele zako zitakuwa ni nyeusi na Mvi hutaziona tena.

KITUNGUU SAUMU.jpg
 
Habari wandugu!

Mimi ni kijana wa miaka 27 ila mpaka sasa kichwani kumekuwa na mvi nyingi sana na kwenye kidevu. Bado sijajua tatizo ni nini?

Naombeni mnisaidie dawa kama ipo mana zinazidi kuongezeka. Kama dawa ipo au vyakula vipo nitashukuru sana.

Thanks wakuu
 
Wakuu habarini za mida. Naombeni msaada wenu. Ninasumbuliwa na mvi kichwani mpaka kwa kidevu cjajua tatizo ni nini! Kama kuna dawa au vyakula vya kutumia nisaidien mana huu ni uzee wa kulazimishiwa. Watu wananiambia ni mawazo na kutopata lishe sahii ila kwangu lishe iko poowa.

Naombeni sana msaada wenu Makamanda.
 
Back
Top Bottom