Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Naombeni msaada wa kurudishia Bluetooth kwenye Laptop yangu inayotumia Window 7, bit 32.
Laptop yangu ilikuwa na tatizo la ku-link kati ya Moderm na internet, yaani ilikuwa nikichomeka moderm, ina funguka vizuri na nina connect kama kawaida, ila ilikuwa nikifungua window ili ifungue internet ilikuwa inaikosa moderm!
Baada ya kuwapelekea wataalamu wa computer, walirekebisha tatizo hilo lakini wakaondoa software ya bluetooth. Naombeni msaada wadau nifanyeje ili irudi ?