Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 517
- 223
Habari zenu ndugu zangu. Naomba niende direct kwenye mada. Ila kwanza nimeweka picha hapo za kuonyesha specification za hii laptop yangu ya LENOVO THINKPAD T420 (Core i5)
Historia fupi, hii laptop ilikuwa ikitumika ofisini kwetu kwa muda wa miaka kadhaa. Ilikuwa ni kwa shughuli za kiofisi tu.
Now zimeletwa laptop mpya, So hii nikaichukua mimi kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Hivyo ikabidi ifutwe kila kitu kilichokuwa ndani na Hard disk ikatolewa ile iliyokuwepo na kuwekwa mpya ya Toshiba 320 GB.
Ikaenda kuwekwa Window 7. Then nikaanza kuitumia kwa matumizi yangu binafsi.
Mimi ni mpenzi sana wa Games. So nikadownload emulator kadhaa za kuniwezesha nicheze mobile games kwenye laptop. Tatizo likawa nikicheza game inastuck. Nikapewa notification kwamba ni-enable Vissualization na ni-update graphic hard driver.
Hiyo Vissualization ipo kwenye BIOS ya pc nikaenda nikainable. Sasa nashindwa jinsi ya ku-update hiyo graphic hard driver. Naomba muongozo wa msaada kwenye hili.
Jana nikadownload pc game ya Asphalt Airbone. Nikiplay inacheza ila nayo inastack stack kidogo. Yaani hapo kama inavyotakiwa.
Nikadownload na Euro truck simulator 2. Yaani hili game nalipenda mno. Hii niliyoidownload mimi ni ya mwaka 2016 kama sikosei. Link iliwekwa humu na mkuu kcamp. Game lipo installed ila naona kwenye screen ya PC yapo mawili. moja lina (64x) euro truck simulator na lingine limeandikwa (32x euro truck simulator 2. Nikifungua ili nicheze HALIFUNGUKI kabisa.
Inafanya kama inataka kufunguka halafu haifunguki. Picha za hiki ninachokisema angalia hapo juu hiyo picha ya mwishonadhani unaona euro yapo mawili.
Then, ninachoshangaa sasa, nikiangalia space inaonyesha This PC 290 GB used, 7.95 free (available space). Sijadownload vitu zaidi ya hivyo nilivyovisema ila storage ndo inaniambia hivyo.
Wakuu, naomba msaada kwenye haya yote. Hii Euro truck simulator 2 ndo kabisa inaninyong'onyesha.
Sent using Jamii Forums mobile app