Msaada wa Application ya kutransfer text message kwenye iphone

Petluk

Senior Member
Sep 11, 2017
169
274
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
 
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke ake
Uliwasha Messages backup kwenye iCloud backup yako? Ingia Settings > Apple ID > iCloud and check that Messages it turned on. Backup tena na restore kwenye simu mpya na message zote zitahama
 
Thanks sana mkuu, nlivyoweka message on kwenye iCloud kwenye sim mpya sms zimehama.
 
Back
Top Bottom