chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,695
- 22,720
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,.
Leo alfajiri nimepotelewa na leseni yangu ya udereva nikiwa katika usafiri wa umma, nimefanya juhudi za kufuatilia gari nililolipanda sijafanikiwa.
Naomba kufahamu utaratibu wa kufuata ili niweze tena kupata leseni yangu wakuu, pia gharama zitakazohitajika.
Natanguliza shukrani.