Msaada: Utaratibu wa kufuata baada ya kupoteza leseni ya udereva

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,.

Leo alfajiri nimepotelewa na leseni yangu ya udereva nikiwa katika usafiri wa umma, nimefanya juhudi za kufuatilia gari nililolipanda sijafanikiwa.

Naomba kufahamu utaratibu wa kufuata ili niweze tena kupata leseni yangu wakuu, pia gharama zitakazohitajika.

Natanguliza shukrani.
 
Habari ya mwanzo w

Leo alfajiri nimepotelewa na leseni yangu ya udereva nikiwa katika usafiri wa umma, nimefanya juhudi za kufuatilia gari nililolipanda sijafanikiwa.
Nenda police kariport utalipia kiasi kidogo utapewa lose report then unaelekea tra. Pamoja na tin yako.

Naomba kufahamu utaratibu wa kufuata ili niweze tena kupata leseni yangu wakuu, pia gharama zitakazohitajika.

Natanguliza shukrani.
 
ripoti kituo kikuu cha polisi (POLICE STATION) pata document nenda TRA utaelekezwa zaidi
 
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,.

Leo alfajiri nimepotelewa na leseni yangu ya udereva nikiwa katika usafiri wa umma, nimefanya juhudi za kufuatilia gari nililolipanda sijafanikiwa.

Naomba kufahamu utaratibu wa kufuata ili niweze tena kupata leseni yangu wakuu, pia gharama zitakazohitajika.

Natanguliza shukrani.
1. RIPOTI POLISI UTAPEWA LOSS REPORT
2. NENDA NA HIYO LOSS PEPORT TRA
3. NJOO HAPA JF LETE MREJESHO...
 
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,.

Leo alfajiri nimepotelewa na leseni yangu ya udereva nikiwa katika usafiri wa umma, nimefanya juhudi za kufuatilia gari nililolipanda sijafanikiwa.

Naomba kufahamu utaratibu wa kufuata ili niweze tena kupata leseni yangu wakuu, pia gharama zitakazohitajika.

Natanguliza shukrani.
Kama unakumbuka namba ya leseni ni vema na mwaka iliotolewa ni vema zaidi. Nenda kituo chochote kikubwa cha polisi, kachukue loss report, kisha utaenda TRA kwenda kuomba leseni nyingine. Huwa hazichukui muda.
 
Asante mkuu, vipi leseni iliyokwisha muda wake karibia mwaka mzima, gharama za kurenew zinakuwaje pamoja na penalt maana haya yote yananihusu
 
Back
Top Bottom