Kwa anayejua Uhuru Park Bar, naomba maelekezo wanajamvi.
Panda gari za M'Nyamala Shuka kituo Kinachoitwa Vijana/ au gari Binafsi.
Vuka barabara rudi nyuma hatua 5 utaona Bar imepaki magari mengi na pia kuna miti mingi ambayo imetundikwa taa za rangi mbalimbali mithili ya Upinde Udondokao basi ndo hapo hapo,Panaangaliana na The Global College.
Kama unaenda kunywa nipitie.

Theenx. . .na mie namuelekeza mtu. . .ntakupitia kesho twende samaki squared.
Ucjali just a joke.
Poa.
Madame B hayo ndio maeneo yako ya kujidai nini...maana umeeleza kwa ufasaha kweli.