Msaada:- Ukumbi bendi ya Grand Utalii inapopigia.

Msaada:- Ukumbi bendi ya Grand Utalii inapopigia.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Wakuu, nipo Dar sasa tokea mwezi wa nne mwaka huu. Pamoja na kuwa niliisha ulizia pahala bendi hiyo inapopatikana pindi nikifika Dar lakini sasa nimesahau hivo pamoja na kuulizia lakini maelekezo yananichanganya.
Naomba msaada kuelewa pahala Grand Utalii Band inapopigia musiki wake ili siku nikiwa na nafasi nami nijimwage mwage.
 
Back
Top Bottom