Msaada: Ugomvi wa rafiki yangu na mkewe

Msaada: Ugomvi wa rafiki yangu na mkewe

hivi na wanawake wangekuwa wanafanya maamuzi kama ya kina munisi na mushi na kwa jinsi walivyo victims wakubwa katika mahusiano kungekuwa na mwanaume amebaki hapa duniani kweli?

mi ningekuwa nishawafanyia hivo woote niliodate nao
 
Hiyo ofisi yenu kiboko. Documents zenu zinasomeka kweli? Hamna nukta, koma wala nini. Full kutiririka.
 
Mbona Kazi rahisi Sana yeye cha kufanya ajitahidi Usafi na apige Kazi Kama vile amehaidiwa kuongezewa mshahara Kama Ana kiwanja aanze kujenga kimyakimya Kama Hana anunue Kama Ana mtoto awe anampeleka Shule akirudi anamfundisha hesabu at least kwa wiki anunue shati Moja boxer na vest n.k................namaanisha ampotezee mkewe kwa Mda coz inaonekana mkewe anataka kumpanda kichwani
 
hapo pana namna aisee! kama sio ujauzito basi kachoka ndoa yake huyo mrembo, na labda pia kapata kibwana huko nje kinanukia balaa!!!!!!!
 
Kuna jamaa analalamika hapa kazini katoka nyumbani ka kwazana na mkewe ambae mara nyingi hawaishi kukwazana na pia inavyoonekana mke kamchoka sana jamaa yetu ingawa jamaa anadai anampenda sana mkewe na amemgharamia mambo mengi sana toka wanasoma na jamaa anadai kipindi bado wanasoma jamaa akiwa mzumbe demu udsm alikuwa akimsumbua sana na kuna siku alitoka chuoni akaenda kwa dsm kwa huyo mkewe akiwa na wazo la kwenda kumuua nae ajimalize bt alipofika akajawa na huruma na hofu maana jamaa ni mcha Mungu sana sasa ya leo ni kwamba wameamka asubuhi na mkewe cha kushangaza mkewe anamwambia jamaa unanuka majasho jamaa akamuuliza unaposema mi nanuka jasho unamaana gani maana hata ww unatoa jasho mkewe kamjibu hili jasho ni la kiume mbaya zaidi huyo mkewe akaanza kunusa baadhi ya mashuka mpaka yaliyofuliwa anasema eti yananuka kimsingi jamaa akajisikia vibaya sana kwanini mkewe anasema hivyo miaka yote wameishi huu ni mwaka wa 5 wanaishi mkewe hakuwahi tamka hayo kweli huyu jamaa niko nae ofisi moja kusema kwamba ana harufu kali ya jasho hapana na ni msafi sana...ila jamaa anadai mkewe ni msaliti yaani ana cheat maana ni mwl.siku moja aliambiwa mkewe alikuwa anashikwashikwa kiuno na mkuu wa shule jirani wakati wakiwa kwenye sherehe na mkewe hakumkemea huyo mwl. mwenzie. WAKUU NYIE MNALISEAJE HILI HASA HILI LA LEO LA JASHO KWANI JAMAA HANA AMANI NA ANAFIKIRIA KUACHANA NA MKEWE.

ukisikichukua chako mapema ndio hapo aende zake tu akapumzike tu..
 
Mbona Kazi rahisi Sana yeye cha kufanya ajitahidi Usafi na apige Kazi Kama vile amehaidiwa kuongezewa mshahara Kama Ana kiwanja aanze kujenga kimyakimya Kama Hana anunue Kama Ana mtoto awe anampeleka Shule akirudi anamfundisha hesabu at least kwa wiki anunue shati Moja boxer na vest n.k................namaanisha ampotezee mkewe kwa Mda coz inaonekana mkewe anataka kumpanda kichwani

Aanze kujenga kimya kimya itasaidiaje hapo Lea! Hebu fafanua!!
 
hapo pana namna aisee! kama sio ujauzito basi kachoka ndoa yake huyo mrembo, na labda pia kapata kibwana huko nje kinanukia balaa!!!!!!!

duuuh mkuu umeua aisee kuna vinjemba vinanukia mbaya na vinatabia mbaya hasa ya kupenda tigO za wadada
 
Mbona Kazi rahisi Sana yeye cha kufanya ajitahidi Usafi na apige Kazi Kama vile amehaidiwa kuongezewa mshahara Kama Ana kiwanja aanze kujenga kimyakimya Kama Hana anunue Kama Ana mtoto awe anampeleka Shule akirudi anamfundisha hesabu at least kwa wiki anunue shati Moja boxer na vest n.k................namaanisha ampotezee mkewe kwa Mda coz inaonekana mkewe anataka kumpanda kichwani

uko sawa mkuu tamwambia
 
habari ndio hiyo..jamaa akiendelea kulalama tu anasimangwa kwa harufu mbaya anatakiwa ALIFANYIE KAZI suala hilo FASTA...Jamani kuna vijamaa VINANUKIA ni noma aisee!!!!!!!!!!!
duuuh mkuu umeua aisee kuna vinjemba vinanukia mbaya na vinatabia mbaya hasa ya kupenda tigO za wadada
 
kama ana mimba sawa, ila kama mzima kabsa basi zinatafutwa sababu hapo, na jamaa huyo si mke kama kuna wakati alitaka kumuua halafu akaja akamuoa hamna upendo hapo. wacha niendelee kupiga zanzi zangu hapa kisha nikamalizie kazi za watu
 
Back
Top Bottom