nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
^^
Inategemea nini?
^^
kama alikupenda toka moyoni hatofanya hayo ila kama alikupenda ili umsomeshe, umekwenda na maji.
^^
Inategemea nini?
^^
kama alikupenda toka ndani ya moyo wake hatofanya hayo ila kama alikupenda ili umsomeshe, imekula kwako.^^
Inategemea nini?
^^
mkuu mke wa huyu jamaa hana mimba na wana mtoto mmoja nae ana miezi mi 5 tu.