Msaada: Ugomvi wa rafiki yangu na mkewe

Msaada: Ugomvi wa rafiki yangu na mkewe

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Kuna jamaa analalamika hapa kazini katoka nyumbani kakwazana na mkewe ambae mara nyingi hawaishi kukwazana na pia inavyoonekana mke kamchoka sana jamaa yetu ingawa jamaa anadai anampenda sana mkewe.

AnaDAI amemgharamia mambo mengi sana toka wanasoma na jamaa anadai kipindi bado wanasoma jamaa akiwa Mzumbe demu UDSM alikuwa akimsumbua sana na kuna siku alitoka chuoni akaenda kwa dsm kwa huyo mkewe akiwa na wazo la kwenda kumuua nae ajimalize bt alipofika akajawa na huruma na hofu maana jamaa ni mcha Mungu sana.

Sasa ya leo ni kwamba wameamka asubuhi na mkewe cha kushangaza mkewe anamwambia jamaa unanuka majasho jamaa akamuuliza unaposema mi nanuka jasho unamaana gani maana hata ww unatoa jasho mkewe kamjibu hili jasho ni la kiume mbaya.

Zaidi huyo mkewe akaanza kunusa baadhi ya mashuka mpaka yaliyofuliwa anasema eti yananuka kimsingi jamaa akajisikia vibaya sana kwanini mkewe anasema hivyo miaka yote wameishi huu ni mwaka wa 5 wanaishi mkewe hakuwahi tamka hayo.

Kweli huyu jamaa niko nae ofisi moja kusema kwamba hana harufu kali ya jasho hapana na ni msafi sana.

Ila jamaa anadai mkewe ni msaliti yaani ana cheat maana ni mwl.siku moja aliambiwa mkewe alikuwa anashikwashikwa kiuno na mkuu wa shule jirani wakati wakiwa kwenye sherehe na mkewe hakumkemea huyo mwl. mwenzie.

WAKUU NYIE MNALISEAJE HILI HASA HILI LA LEO LA JASHO KWANI JAMAA HANA AMANI NA ANAFIKIRIA KUACHANA NA MKEWE.
 
Tuseme nini sasa; yawezekana jamaa ni msafi nje lakini hafanyi usafi kwa nguo za ndani. Aende home achome nguo zote za ndani na anunue mpya.
 
wakae pamoja na wazazi waongee kabla yakuchukua uamuzi wakuachana
 
yani jamaa ameshabugi tayari huyo demu alimwona mzigo mapema ila akaamua kuliingiza ndani sasa aendelee kulisukuma tu litafika.................. amabo hamja oa ukiona kwenye uchumba amuelewani basi usijelazimisha kwa kujipa moyo atabadilika ndani ya nyumba.......... jamaa huyo tayari he create his on shetani wake aendeleee kulifuga tu............... au labda anaujauzito inamchanganya bidada..
 
Haya mapenzi yana nn siku hizi aisee?mbona yanagoma hivi?ipo haja ya wizara ya elimu kutengeneza mitaala katika eneo hili,why matatizo kila siku?
 
wakae pamoja na wazazi waongee kabla yakuchukua uamuzi wakuachana

yani kuna watu wanaingia ndani ya ndoa eti kisa tumekaa miaka 5... lakini kiukweli ndoa ni maelewano yakikosekana hayo hata maendeleo amna kabisa.....
 
Haya mapenzi yana nn siku hizi aisee?mbona yanagoma hivi?ipo haja ya wizara ya elimu kutengeneza mitaala katika eneo hili,why matatizo kila siku?

mtaala ni akili yako sasa kama jamaa alijua anacheat ana akataka kujiua na bado akimwingiza ndani, uoni kama jamaa nae akili yake ina problem....
 
yani jamaa ameshabugi tayari huyo demu alimwona mzigo mapema ila akaamua kuliingiza ndani sasa aendelee kulisukuma tu litafika.................. amabo hamja oa ukiona kwenye uchumba amuelewani basi usijelazimisha kwa kujipa moyo atabadilika ndani ya nyumba.......... jamaa huyo tayari he create his on shetani wake aendeleee kulifuga tu............... au labda anaujauzito inamchanganya bidada..

Mimi pia nimedhani ni mimba changa!!!
 
mkuu mke wa huyu jamaa hana mimba na wana mtoto mmoja nae ana miezi mi 5 tu.
 
mkuu mke wa huyu jamaa hana mimba na wana mtoto mmoja nae ana miezi mi 5 tu.

basi jamaa aliyataka mwenyewe kama ulishaona mtu mzigo alafu uanjitia kubeba msalaba.... ajichunguze kama anaweza endelea vumilia au la!!!
 
Yani kuambiwa ananuka jasho ndo ameamua kusimulia ofisini! Jamaa aache utoto bana.
 
Afanye kama ya munisi na mushi................period

hivi na wanawake wangekuwa wanafanya maamuzi kama ya kina munisi na mushi na kwa jinsi walivyo victims wakubwa katika mahusiano kungekuwa na mwanaume amebaki hapa duniani kweli?
 
Back
Top Bottom