Msaada: Ufafanuzi juu ya Islamic Banking

Ni kwa nini kila mara waislamu wanapenda kusema "katika uislamu"????? badala ya kuzungumzia economic principles?
Hata Lipumba muislam aliyebobea kwenye uchumi anaweza kukusaidia na hatasema kuhusu "katika uislam"
Ukiingiza sn imani unajikuta "ktk uislam unaruhusiwa vitu vingi wake wengi, kuua, etc
 
Excellently
 
........... huelewi nini mtu akisema 'katika Uislaam !?' ..... ina maana nje ya Uislaam, kuna taratibu nyingine (mwingine). Jile79

Uislaam hauzungumzii aliyo amua mwanadamu kufanya, hali linalotakiwa kufanya limeanishwa wazi. Ndio maana aya inasema:

'Enyi mlioamini (Waislaam) Mcheni Mwenyezi Mungu ! na acheni riba zilizo baki ikiwa nyinyi ni Waumini.
Q: 2:278.
 
Zungumzia products za bank sio unaleta unaa.umeckia ww kikongwe
 
Hakuna MKOPO usio na RIBA JINA NDO LINABADILIKA,

UNAPONINUNULIA GARI LA 10M HALAFU NILIPE 11M KWA INSTALLMENTS, 1M NI RIBA

Ni magumashi niko kwy sector ya bank.riba ipo sema wameingiza kwy kugawana faida.faida ya bank ni mikopo na ina riba.
 
Zungumzia products za bank sio unaleta unaa.umeckia ww kikongwe

Huo unaa uko wapi ewe punguani? Umeona swali lililoulizwa linahusu "products"?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Huo unaa uko wapi ewe punguani? Umeona swali lililoulizwa linahusu "products"?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hivi kwani ww ni kati ya wale mabikira 72?????
Just curious
 
Huo unaa uko wapi ewe punguani? Umeona swali lililoulizwa linahusu "products"?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Mdin sana ww wa2 wanataka kujua umuhim ili wapate huduma ya bank ww unaleta ujinga.mpuuz sana mme wako anakazi kwelkwel
 
Ni magumashi niko kwy sector ya bank.riba ipo sema wameingiza kwy kugawana faida.faida ya bank ni mikopo na ina riba.

Mimi nadhani mnabishania sheria tofauti hapa ambazo zina tafisiri tofauti pia, kati ya sharia na common law ambayo sijui kiswahili chake.
 
Endapo nitashindwa kulipa kama kutokana na pengine kufukuzwa kazini, au imetokea ajali yeyote kazini, hapo bank kiupande wao watachukua hukumu gani juu yangu.

naomba kuelimishwa.

asante
 
Ni magumashi niko kwy sector ya bank.riba ipo sema wameingiza kwy kugawana faida.faida ya bank ni mikopo na ina riba.

.............. wewe Banker riba ina hasara ? unaweza kupata hasara katika riba !?
Kwa nini Bank zinachukuwa hati za nyumba na viwanja ? nyiokunda
 
Last edited by a moderator:
Endapo nitashindwa kulipa kama kutokana na pengine kufukuzwa kazini, au imetokea ajali yeyote kazini, hapo bank kiupande wao watachukua hukumu gani juu yangu.

naomba kuelimishwa.

asante

Bank ina share na wewe hasara ! ..... hakuna kuuziwa nyumba wala kushtakiwa. Katika Uislaam deni linaweza kugeuka sadaka.
 
Mdin sana ww wa2 wanataka kujua umuhim ili wapate huduma ya bank ww unaleta ujinga.mpuuz sana mme wako anakazi kwelkwel

..... wewe mbona mjinga sana ! hujui hii mada ni ya kidini ! (islamic banking) nyiokunda
 
Last edited by a moderator:
..... wewe mbona mjinga sana ! hujui hii mada ni ya kidini ! (islamic banking) nyiokunda

Acha kimbelembele ww.islam banking hata iman nyingine wanatumia ndio maana ipo kwy regulation za bot na din nyingine wapo kwy amana bank .ambayo inatoa huduma hiyo kwa 100%.vp umepigwa na mmeo leo asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
Bank ina share na wewe hasara ! ..... hakuna kuuziwa nyumba wala kushtakiwa. Katika Uislaam deni linaweza kugeuka sadaka.

Hamna kitu kama hicho den ikawa sadaka .bank itapataje faida, mbona wanafanya valuation kwy fixed asset kwa ajili ya kutoa mikopo kila bank inaendeshwa na regulation za bot.acha uongo bana
 
Acha kimbelembele ww.islam banking hata iman nyingine wanatumia ndio maana ipo kwy regulation za bot na din nyingine wapo kwy amana bank .ambayo inatoa huduma hiyo kwa 100%.vp umepigwa na mmeo leo asubuhi!

.......... wewe ------ umekula maharage ya wapi !? .... Islamic banking ni sawa na CRDB ?! :doh: nyiokunda
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…