Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!

Aendelee kutunza sijaona sehem ambayo jamaa kamtaka kimapenzi,

Halafu bikra sio tatizo angeona tatizo angebikiriwa mda
 
Story hizi zinatakiwa kiletwa na mhusika sasa wewe uleta hapa ili iweje? Au wewe ndie mhusika?
 
Nipe mawasiliano yake nina mengi ya kumshauri personal
Ahahahaha. Mshauri hapa hapa buana
Kwani msaada umeletewa private?

Kiru! Deep stuff, asante amesikia anacheka tu hapa

If you are a man, never ever be a cockblock to your fellow man. May our colleague be given what made God punish us by sending us to earth.

Na apewe tu huyo jamaa.
Hahahahaha ur sometjing else aya buana asante

wanaume wengine wanaweza sana mapenzi ya tamthiliya, hivi unasemaje huyu ni mpenzi wangu na hujawah kugegeda? Inapitaje kipindi chote hicho bila kuona ndani na bado umo tuu... lazima utoe mzigo ndiyo mambo yakae sawa
Sawa bwashee
 
Aendelee kutunza sijaona sehem ambayo jamaa kamtaka kimapenzi,

Halafu bikra sio tatizo angeona tatizo angebikiriwa mda
Ivo ee?! Hehehe sio kila mwanaume ni dikteta!

kiruuu yesu namaria!!! 33 bk
Ndio bwashee

Story hizi zinatakiwa kiletwa na mhusika sasa wewe uleta hapa ili iweje? Au wewe ndie mhusika?
We bwana kama hauna msaada wapishe wenzio usilete u dikteta kwenye msaada bruh!
 
Ivo ee?! Hehehe sio kila mwanaume ni dikteta!

Ndio bwashee

We bwana kama hauna msaada wapishe wenzio usilete u dikteta kwenye msaada bruh!
Angeonyesha bwana hata kwa kujaribu kumvua nguo si lazma atumie nguvu...
 
Akae akijua, akimpa tu BK inatoka na hapohapo mimba na pia kuwa kinyume na Bwana wa mabwana!
 
Menopause hatari sana. Na ndio umri wenyewe huo
 
Ivo ee?! Hehehe sio kila mwanaume ni dikteta!

Ndio bwashee

We bwana kama hauna msaada wapishe wenzio usilete u dikteta kwenye msaada bruh!
Neno dicteta linasehemu zake kutumika...
Wewe Kama sio mhusika bora umlete humu au ndio utakuwa unachukia kila quote ya ushauri unamfikishia?
 
Guinness wanasuburi nini kumuweka huyu dada kwenye record zao
Hahahahha.. we umenichekesha. Sio awekwe kwenye Biblia?!

Akae akijua, akimpa tu BK inatoka na hapohapo mimba na pia kuwa kinyume na Bwana wa mabwana!
Ahahahaha, Haleluyah! Kwani si Condom zipo bro?! Au?!

labda ni BK ya masikioni nitakua nimesoma vibaya
We bwana acha kiki, Bikra zote 2 anazo sehemu zote za siri!

Mwambie akaolewe na njemba nyingine..hiyo haina malengo nae
Meona ee?! Ni kweli kabisa anampotezea tu muda!

Menopause hatari sana. Na ndio umri wenyewe huo
We bwana acha kutudanganya, Meno Pause miaka 31?! Na wa miaka 52-55 wanasemaje labda?! Mbona Sarah wa kwenye Biblia alizaa na miaka 90?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…