Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

Si ndio kuwa mwanamke hatembei na mwanaume asiyempenda!?..well nadhania umeongea tuu you don't mean a thing kwakweli hao machangu Wa reja reja na jumla wengi sio wanawake?tna hutujui bwana..mwanamke unaeza ata kuolewa na mwanaume asie mpenda na akakuzalia mpaka mkazeema usishtukie bt sio mwanaume..ata bible inasema mume ampende mke.mke amuheshmu mume!!yaan nature ya kupenda sio yetu Kwa taarfa yako mwanaume ana impact in us!!!...nina mifano hai mingi tuu ya watu Wangu Wa ka
 
Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 26, nimeolewa hivi majuzi na Mme wangu wa umri wa Miaka 34, tunapendana sana na ananitimizia kila kitu isipokuwa kuna shida kwenye "Unyumba".

Tulianza mahusiano kwa miezi kadhaa kabla ya kuoana na kuhamia kwetu peke yetu.

Tatizo lipo Chumbani tu mwenzangu anapenda sana kulambwa corn na nikimlamba kidogo tu anamwaga saa zengine mdomoni na akisha mwaga tu anaishiwa nguvu na kulala hapo hapo na kuanza kukoroma mpaka kesho na huamka kwenda kazini na kuniacha hivo hivo na maumivu ya tangu jana usiku.

Hali hiyo inanipa shida sana kwani anakuwa hajanipa haki yangu na hisia tayari zilishapanda nabaki naumia usiku wote na kuwa na mood mbaya kunapokucha, mara nyingi nabaki nimetumbua macho kama bundi usiku wote huku yeye ameridhika na amelala usingizi mnono napata maudhi sana natamani hata nimpige vibao akiwa usingizini.

Siku akijitahidi tuna have sex lakini anakuwa kama Kuku dakika tatu kashamaliza embu imagine hali nayokuwa nayo usiku huo na ujue hapo ndio kwisha Battery.

Basi nimejitahidi kumrekebisha hawezekani ndo kwanza namvuruga nakuanza kuniambia namzarau ingawa wakati tunaanza mahusiano alikuwa ananichukua tunaenda Hotel na alikuwa anajitahidi sana ingawa si katika kiwango nilichotaka, nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba swala la mapenzi kwangu limekuwa jinamizi linaloniwinda kila muda.

Ananisababishia hasira na stress zisizoisha nakuwa na mood mbaya mpaka kunifikisha hatua ya kukwaruzana na wafanyakazi wenzangu bila hata ya sababu au kwa kitu kidogo mara zingine nagombana na wateja na kuna siku nimesababisha msururu mrefu Bank kwani sikuwa na mood kabisa ya kufanya kazi na jana tu kidogo nitumbukize gari mtaroni kutoka na msongo wa mawazo kwa vile tu najiona siko sawa na najisikia hovyo nachukia kila kitu, asubuhi tu nimembonda mdada wa kazi kwa kitu ambacho yani najutia kitendo nilichofanya kwani hakukuwa na sababu.

Kabla ya kuwa na yeye nilikuwa na Mvulana wangu alikuwa Mwanaume wa Ukweli, round za kutosha, alikuwa anajua romance, nilikuwanaridhika mpaka nasema sitaki tena nimechoka.

Mvulana wangu alinizoesha kunyonya huku chini lakini tangu niwe na huyu Mme wangu hataki katu katu kusikia hicho kitu, nimemiss sana na nilishazoea hataki kabisa hata nikimshawishi vipi hataki lakini corn anataka kulambwa na ananiambia eti maungo yetu ni tofauti na ni sawa mi kumnyonya nshaanzisha na mgomo hapa kabisa na ameninunia.

Naona Ndoa Chungu jamani msaada wenu wa ushauri ni muhimu.

Naombeni Ushauri, Sitaki kusaliti viapo vyangu juu ya Ndoa yangu kwa Baba Padre nilivyo apa mbele ya waumini, na Mungu.Asanteni Wana Jamii.

Duh. Katika Uislaam moja ya sababu za mwanamke kutoa talaka ni pale unaponyimwa haki yako ya msingi ya uyuyu.

Sijui ndoa za kanisa kama mnaweza kutalikiana. Huu ndio unyanyansaji kupita kiasi, hizo ulizozielezea kuhusu huyo mumeo ni dalili za ukhanithi, na hali kama hiyo ndio kichocheo kikubwa kinachopelekea usaliti wa ndoa. Either or.

Ushauri wa kwanza ni kumrai mumeo aende akaonane na madaktari, wakajaribu kumtibu huo ukhanithi.

Akionana na madaktari na baada ya kupata tiba na hali hiyo ikiendelea, huna choice bali kumpa talaka, sasa sijui kwa kanuni zenu za kanisa itakuwaje? Kwa sisi Waislaam hiyo wala si issue, unampa tu talaka kwa kushindwa kutimiza jukumu lake la muhimu.

Pole sana.
 
Dadaangu pole sana na hizo changamoto naomba kila siku kuanzia saa nne usiku mpaka saa 6 ufungulie times fm usikilizi kipindi kinaitwa pirlo talk utapata full update ya matatizo ya wana ndoa na madoctor wa uhakika utawapata kuhusu matatizo ya wanandoa na utaanza kuenjoy ndoa yako kuanzia kila j3 mpaka alhamis 100.5fm
 
Si ndio kuwa mwanamke hatembei na mwanaume asiyempenda!?..well nadhania umeongea tuu you don't mean a thing kwakweli hao machangu Wa reja reja na jumla wengi sio wanawake?tna hutujui bwana..mwanamke unaeza ata kuolewa na mwanaume asie mpenda na akakuzalia mpaka mkazeema usishtukie bt sio mwanaume..ata bible inasema mume ampende mke.mke amuheshmu mume!!yaan nature ya kupenda sio yetu Kwa taarfa yako mwanaume ana impact in us!!!...nina mifano hai mingi tuu ya watu Wangu Wa karibu ninao wajua wana huo uwezo...personally ma ex zangu karbu wte sikuwa nawapenda..was just dating for fun till I found huyu mjew Wangu ndo nikapagawa ..second year nikapigwa ring hapo lol na GPA ilishukajee manake nilikuwa sishikiki but before...aaah wewe tuna huo uwezo saaana hamuoni ndani na tna wanawake ma cheater wakubwa saana hamjui tuu cz wasiri na wajanja ..mwanamke akiamua kukufanyia imafioso we unaeza usijue kamwe!!..bt sio mwanaume...ukiwa mjanja mwanaume hakuchezei bingo utamjua tuu sema wanawake wengi sjui hawana hayo maujanja ama hawana mda sijui wenzangu bt for me...bingo hujanichezea bado

hahaha haya thanks for proving me wrong,kumbe nilikuwa najidanganya.
lets back t the topic nini ushauri wako kwa mleta mada.
 
kwanza sahau kabisa habari ya uyo sijui x wako alikuwaga anakuridhisha hilo futa, kwasababu mwisho wa siku kwa mawazo hayo utamrudia na ndoa utaikosa.

la pili nadhani mnaweza kutafuta tiba mbadala either ni saikolojia au wewe mwenyewe kucheki anakula nini as mdau hapo juu amekwishaeleza, jaribu pia kumpa muda wa kutosha kupumzika labda anaeza kuwa anachoka sana na kazi to the extent akija hapumziki na wewe unamdaka juu juu.

jaribu pia kuwa unampatia kikombe cha kahawa kabla ya kulala kitamchangamsha (it depend na mtu so try it it might work)

kaa nae chini mzungumze na umweleze unavyojisikia mjaribu kushauriana kwa upole.

warning. kuwa makini na ushauri wa mashosti kama umewaeleza manake watakachokushauri utaiweka ndoa rehani..be ware.
pole sana mdau.
 
Achepuke tuu kama hawezi afe kisabuni.kwani yeye ndio angekuwa na hlo tatzo sdhani kama hyo mwanaume angejishauri kuchepuka
kwa hapo sikubaliani na wewe iwe inabidi iwe last option kwani hamna dawa zakuongeza nguvu za kiume ampe mumewew atumie waote wafurahie tendo.,na kkama kuchepuuka atachepuka mpk lini?? maana akichepuka hamjengi mmewe sanasana mmewe akijua ndoa yao itakuwa mashakanii.
 
^^
1. Epuka kulinganisha wanaume, utaumia zaidi
2. Kagua ulaji wa mumeo
3. Wakati wa tendo unatakiwa akishamwaga, wewe uanze kuvuta korodani zake taratibu pasipo kummumiza ili kumrejeshea uwezo wake. Fanya hivyo kila anapoonekana kuchoka.
4. Ajitahidi sana kutumia maji kila baada tendo moja.
5. Mjengee kujiamini na kumtia moyo wakati wa tendo la ndoa.
^^

benki teller anatakiwa abalance mahesabu, arudi home apike, amuandalie mumewe maji hadi kuvuta korodani? kweli ndoa ngumu sana
 
benki teller anatakiwa abalance mahesabu, arudi home apike, amuandalie mumewe maji hadi kuvuta korodani? kweli ndoa ngumu sana
Teheeee anatakiwa na a-boost ngoma ya mumewe iliyo battery low! Kaazi kweli kweli!
 
kwa hapo sikubaliani na wewe iwe inabidi iwe last option kwani hamna dawa zakuongeza nguvu za kiume ampe mumewew atumie waote wafurahie tendo.,na kkama kuchepuuka atachepuka mpk lini?? maana akichepuka hamjengi mmewe sanasana mmewe akijua ndoa yao itakuwa mashakanii.

Wanaume wangekuwa wanafkiri hayo sidhan kama ndoa zngekuwa ndoano..hyo inaitwa kimfundsha mtu Kwa vtendo.do me I do you.. kwan hyo mwanaume kwanza ni selfish.utamfanyiaje mwenzko hvyo alafu wala usishtke?..bsi amtaftie ba dawa ya u selfish lol..hzo dawa za kuongeza nguvu je?atatmia mpaka lini?unadhania saikolojia ata hyo mwanaume itakuwa sawa hvyo kila siku akitaka Ku do ameze dawa ..lol hyo mwathirka Wa tendo sasa.alafu wenzake uwa wanafanya kisiri..mpaka .mke anajua mwwnzangu ata ujitutumueje heshma hakuna hapo.sifa na shukran zote zinairudia dawa..atamuongezea ugnjwa Wa uchiz bure.bora achepuke ambakizie cheo cha mume bandia..hehehee
 
shida ya mahusiano kwenye kitengo cha mgegedo imeongezeka, coz wanaume hivi sasa kuna janga la kupotelewa kwa uwezo wakugegeda sababu ya vyakula na style ya maisha mabovu mabovu,
dada pole sana ila jitahidi sana kumbembeleza akutimizie shida zako, hata hivyo badilisheni utaratibu wenu wa kugegedana ili akuudumie ww kwanza kabla jogoo ajashuka
 
mpndwa chukua hatua mapema,maana muda upo na hata uwe bila shaka upo,basi fanya hima kumsaidia japoataonyesha kuwa hana tena tamaa,ila mpiganie,kwani madawa ya kienyeji tele na hata ya mahosipitali yapo!kwa msaada jariau kufuatialia kipindai cha radio chaitwa upepo wa mahaba,kuna doctore anauza dawa za kurejesha nguvu na uimara.
 
Haya ndo matatizo ya kufyatuliwa hovyo hovyo kabla ya ndoa. Endelea kutoa huduma ya bule kwa wengine, si ulishazoea......!? Pole zako.
 
BABY AME-IMPROVE! BABY AME-IMPROVE!
Naendelea kuwashukuruni sana jamani!
Ushauri wenu nimeupokea kwa mikono miwili mmenisadidia sana.
At least napata doze ya kueleweka kwa hizi siku chache sasa.
Nimegundua makosa yangu binafsi na yake pia tunarekebisha.
Asanteni kwa kunifungua,
Nimemwanzishia diet maalumu, maandalizi maalum, mazoezi tunapiga wote kila jioni kabla ya kuoga na dinner,
Kila mmoja ana wajibu sasa wa kumridhisha mwenzie,
Nakiri kwamba ma hubby is a hardworking businessman na kiukweli anachoka sana katika business zake na hapati uangalizi malumu wa vyakula hasa weekdays na mchana hasa hasa,
Anajitahidi sasa at least sigombani na wateja saivi lol!
Thank you again guys! I send you hugs and kisses.
 
Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 26, nimeolewa hivi majuzi na Mme wangu wa umri wa Miaka 34, tunapendana sana na ananitimizia kila kitu isipokuwa kuna shida kwenye "Unyumba".

Tulianza mahusiano kwa miezi kadhaa kabla ya kuoana na kuhamia kwetu peke yetu.

Tatizo lipo Chumbani tu mwenzangu anapenda sana kulambwa corn na nikimlamba kidogo tu anamwaga saa zengine mdomoni na akisha mwaga tu anaishiwa nguvu na kulala hapo hapo na kuanza kukoroma mpaka kesho na huamka kwenda kazini na kuniacha hivo hivo na maumivu ya tangu jana usiku.

Hali hiyo inanipa shida sana kwani anakuwa hajanipa haki yangu na hisia tayari zilishapanda nabaki naumia usiku wote na kuwa na mood mbaya kunapokucha, mara nyingi nabaki nimetumbua macho kama bundi usiku wote huku yeye ameridhika na amelala usingizi mnono napata maudhi sana natamani hata nimpige vibao akiwa usingizini.

Siku akijitahidi tuna have sex lakini anakuwa kama Kuku dakika tatu kashamaliza embu imagine hali nayokuwa nayo usiku huo na ujue hapo ndio kwisha Battery.

Basi nimejitahidi kumrekebisha hawezekani ndo kwanza namvuruga nakuanza kuniambia namzarau ingawa wakati tunaanza mahusiano alikuwa ananichukua tunaenda Hotel na alikuwa anajitahidi sana ingawa si katika kiwango nilichotaka, nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba swala la mapenzi kwangu limekuwa jinamizi linaloniwinda kila muda.

Ananisababishia hasira na stress zisizoisha nakuwa na mood mbaya mpaka kunifikisha hatua ya kukwaruzana na wafanyakazi wenzangu bila hata ya sababu au kwa kitu kidogo mara zingine nagombana na wateja na kuna siku nimesababisha msururu mrefu Bank kwani sikuwa na mood kabisa ya kufanya kazi na jana tu kidogo nitumbukize gari mtaroni kutoka na msongo wa mawazo kwa vile tu najiona siko sawa na najisikia hovyo nachukia kila kitu, asubuhi tu nimembonda mdada wa kazi kwa kitu ambacho yani najutia kitendo nilichofanya kwani hakukuwa na sababu.

Kabla ya kuwa na yeye nilikuwa na Mvulana wangu alikuwa Mwanaume wa Ukweli, round za kutosha, alikuwa anajua romance, nilikuwanaridhika mpaka nasema sitaki tena nimechoka.

Mvulana wangu alinizoesha kunyonya huku chini lakini tangu niwe na huyu Mme wangu hataki katu katu kusikia hicho kitu, nimemiss sana na nilishazoea hataki kabisa hata nikimshawishi vipi hataki lakini corn anataka kulambwa na ananiambia eti maungo yetu ni tofauti na ni sawa mi kumnyonya nshaanzisha na mgomo hapa kabisa na ameninunia.

Naona Ndoa Chungu jamani msaada wenu wa ushauri ni muhimu.

Naombeni Ushauri, Sitaki kusaliti viapo vyangu juu ya Ndoa yangu kwa Baba Padre nilivyo apa mbele ya waumini, na Mungu.Asanteni Wana Jamii.

Kazi zangu ni kuridhisha wasioridhishwa ila kuna gharama kiasi maana kazi ni kazi na hii ndio shughuri yangu... Nipatikana Dar usione aibu hamu ya mapenzi hutesa.... Utaridhika na mumeo utamuondolea kero zako haya mambo ni uwezo.... Shida yako ni kuridhika kwangu nitakuridhisha....
 
Back
Top Bottom