Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,915
- 14,638
BABY AME-IMPROVE! BABY AME-IMPROVE!
Naendelea kuwashukuruni sana jamani!
Ushauri wenu nimeupokea kwa mikono miwili mmenisadidia sana.
At least napata doze ya kueleweka kwa hizi siku chache sasa.
Nimegundua makosa yangu binafsi na yake pia tunarekebisha.
Asanteni kwa kunifungua,
Nimemwanzishia diet maalumu, maandalizi maalum, mazoezi tunapiga wote kila jioni kabla ya kuoga na dinner,
Kila mmoja ana wajibu sasa wa kumridhisha mwenzie,
Nakiri kwamba ma hubby is a hardworking businessman na kiukweli anachoka sana katika business zake na hapati uangalizi malumu wa vyakula hasa weekdays na mchana hasa hasa,
Anajitahidi sasa at least sigombani na wateja saivi lol!
Thank you again guys! I send you hugs and kisses.
Problem solved....
Ingawa nina wasiwasi na huo muda uliosema ana tatzo mpaka amekuja kubadilika(from 24th to 28th)...mbona kama kabadilika ndani ya muda mfupi...wape maujanja wenzio siri ya urembo namna ulivyombadilisha haraka.....