Nifanye nini nitoke kwenye ukungu ...
Msinipige majungu ... nunueni kanda zangu
Eti wanasema nagombania gari ... Kumbe walishapanga wampe nani toka awali
Nasema sirudii tena kosa ... zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI
nilianza kuimba hardcore wadosi wakachomoa,banaeeh hii haiuzi tena inaboa,nikaona niimbe komesho labda itaniokoa msoto ndo ukazidi yani badala ya kupoa,masikini wa mapenzi mi tajiri wa mikosi'"
aisee ni pm na mimi kwa ushauri zaidi,hizi kwa wale marijali huziita fursa!