Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,715
5,708
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii

Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai yuko Bize kazini,ni kweli anafanya kazi.

Kutokana na ilo jibu hapo juu Mimi na wewe tunaweza kujudge labda hanitaki, lakini cha kushangaza 2 days after we first met, alinipigia simu na namba yake ingine Ya pili ambayo hakunipa mwanzo, huku akiongea na mm kwa sauti legevu, lakini nkiomba kumeet nae bado atasema yuko Bize, Sasa nilibaki kushangaa..theories tatu zimebaki kichwani kwangu

1) Anataka attention yangu tu, ila hayuko serious na mm
2) Ananilinganisha na wengine wanaomtongozaga, Yan mm sio first selection, labda spare tyre
3)Alishaumizwa, sasa ananiogopa haniamini..

SABABU YA MIMI KUULIZA
Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, huwezi ukajua kila kitu, hata wadada Mwaweza changia humu, nauliza humu jf coz sitaki kuendelea kupoteza muda. Wanaume mliokutana na wadada wa type hii mli-deal nao vipi..

Kichwani nafikiria kumkaushia ila naogopa huenda napoteza mtu ambaye ni a good woman

NOTE: Uzuri wake hajawahi kuniomba hela tangu nimechukua namba yake, lasivyo ningekuwa nshamkimbia Mzigua90 Evelyn Salt Heaven Sent to yeye Demi Luv
 
Umenikumbisha Katika Harakati Zangu Za Pimbi Niliwahi Kuchukua Namba Ya Mwanamke Mmoja Akanipa Na Conditions Za Kupiga Simu/Kumtafuta.

"Alisema Nisimtafute Usiku Wala Mchana Wala Asubuhi Hata Jioni Pia"

Moyoni Nilibaki Na Kicheko Cha Butwaa Kuwa Hivi Angejisikia Anachoongea Angekuwaje.

Twende Kwenye Mada Wanawake Sometimes Ukiwatafuta Sana Wanakushusha Na Kuona Ni Haki Yao Kutafutwa, Kama Ni Mwanzo Wa Mahusiano Endelea Kumtafuta Ila Kuwa Na Kiasi.

Penzi Likimea Vyema Punguza Kumtafuta Mara Kwa Mara Na Uendelee Na Shughuli Za Kujenga Taifa Ili Mfuko Uendelee Kunona.
 
Mi ni domo zege hua nina tabia ya kudribble kwa muda mrefu kabla sijaanza kutafuta chance ya kuscore so ningekua wewe hiyo siku ya pili uliyoomba kuonana mimi ningekua bado naexist kama mshkaji mwenye interest ila ni mpiga stori.

Kwakua ushafikia hatua ya kuomba kuonana na anasema yupo bize mi nashauri ungemwambia ukweli wote sasa ili upate closure maana hizi mambo za ubize usioisha ni tatizo.
 
Hapo hakuna cha closure.

Hapewi chance akaushe tu.

Kubembeleza kwingi ni shida pia.
 
Hapo hakuna cha closure.

Hapewi chance akaushe tu.

Kubembeleza kwingi ni shida pia.
Akinyamaza na binti akanyamaza atakua na namba ya mtu ambaye hajui kama wangeweza kua na uhusiano ama la.

Bora amwambie kwamba nahitaji tukutane ili tuwe couple kisha binti akisisitiza kwamba yupo bize jamaa atajua wazi hapo hamna kitu
 
Huo muda unaupata wapi?

Yuko busy achana naye fanya mambo mengine.

Ww bado hujawajua wadada wa mjini, hapo unawekwa vizuri upigwe mzinga.

Mi mtu akijifanya yuko busy, nafuta namba haina haja ya kuumiza kichwa.

Ila cha ajabu mtu hataki muonane na hela anaomba, mi huwa najibu simple tu, njoo uchukue 😄😄

Kuna mmoja juzi tu hapa nimemkaushia, jana kaanza kurudi kwa speed mpka ananiita love...nikasema hiiii 😄😄
 
Ila pia ukweli sikuhizi maisha yamebana kidogo(no much time to spare)

Mpe muda zaidi, hata ukijua lifestyle yake unaweza muelewa.

Maisha ya mjini fulu kuchoka ukipata ka-mda kidogo tuu unataman upumzike zako tuu.

So chill uone mwisho wake.
 
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii

Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai yuko Bize kazini,ni kweli anafanya kazi.

Kutokana na ilo jibu hapo juu Mimi na wewe tunaweza kujudge labda hanitaki, lakini cha kushangaza 2 days after we first met, alinipigia simu na namba yake ingine Ya pili ambayo hakunipa mwanzo, huku akiongea na mm kwa sauti legevu, lakini nkiomba kumeet nae bado atasema yuko Bize, Sasa nilibaki kushangaa..theories tatu zimebaki kichwani kwangu

1) Anataka attention yangu tu, ila hayuko serious na mm
2) Ananilinganisha na wengine wanaomtongozaga, Yan mm sio first selection, labda spare tyre
3)Alishaumizwa, sasa ananiogopa haniamini..

SABABU YA MIMI KUULIZA
Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, huwezi ukajua kila kitu, hata wadada Mwaweza changia humu, nauliza humu jf coz sitaki kuendelea kupoteza muda. Wanaume mliokutana na wadada wa type hii mli-deal nao vipi.. Kichwani nafikiria kumkaushia ila naogopa huenda napoteza mtu ambaye ni a good woman

NOTE: Uzuri wake hajawahi kuniomba hela tangu nimechukua namba yake, lasivyo ningekuwa nshamkimbia Mzigua90 Evelyn Salt Heaven Sent to yeye Demi Luv
Ana mtu wake, kabadilisha simu sasa yuko free kuchat na kukutana nawe
 
Back
Top Bottom