Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,715
- 5,710
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii
Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai yuko Bize kazini,ni kweli anafanya kazi.
Kutokana na ilo jibu hapo juu Mimi na wewe tunaweza kujudge labda hanitaki, lakini cha kushangaza 2 days after we first met, alinipigia simu na namba yake ingine Ya pili ambayo hakunipa mwanzo, huku akiongea na mm kwa sauti legevu, lakini nkiomba kumeet nae bado atasema yuko Bize, Sasa nilibaki kushangaa..theories tatu zimebaki kichwani kwangu
1) Anataka attention yangu tu, ila hayuko serious na mm
2) Ananilinganisha na wengine wanaomtongozaga, Yan mm sio first selection, labda spare tyre
3)Alishaumizwa, sasa ananiogopa haniamini..
SABABU YA MIMI KUULIZA
Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, huwezi ukajua kila kitu, hata wadada Mwaweza changia humu, nauliza humu jf coz sitaki kuendelea kupoteza muda. Wanaume mliokutana na wadada wa type hii mli-deal nao vipi..
Kichwani nafikiria kumkaushia ila naogopa huenda napoteza mtu ambaye ni a good woman
NOTE: Uzuri wake hajawahi kuniomba hela tangu nimechukua namba yake, lasivyo ningekuwa nshamkimbia Mzigua90 Evelyn Salt Heaven Sent to yeye Demi Luv