Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #41
Ni kweli
Ila mimi nina wakaka Wengi na wadogo Wengi
Wote waliomba namba zangu nikawapa
Ila mimi nina wakaka Wengi na wadogo Wengi
Wote waliomba namba zangu nikawapa
As a man i agree with you but not go all men, you see kila kitu kina process trust me winning someone's attention and heart is the toughest task, sasa hapa ndo panapoibukia tatizo la kubakwa kisaikolojia kama mnavyoliita wanawake, alot of men i mean baadhi yao wanaruka process na kuhisi kila mwanamke anaemuona lazma tu ampate hapo tunajikuta tunakosa kuwa romantic na kuleta mvuto katika process ya kuwin affection, anyways kwa wenye vitabia hivyo tambueni mwanamke ni kama ua linalohitaji matunzo na umwagiliaji ili liweze chanua [emoji16][emoji16][emoji16], ujue vitu vingine hata kama wanaume hatuvijui bas tujifunze.
And to all ladies don't give your phone number randomly just bcoz you have just been asked, kama unajua situation yako either your in relationship or anything hii itakuletea cracks mwisho wa siku muendelee kulalamika kubakwa kisaikolojia unless uliyempa namba ulitarajia atakuwa kaka yako maybe [emoji23][emoji23][emoji23] which isn't true