Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Uuuwi we dada umeniliza huu wimbo nimeutafuta kweli asante jamaan naupeendaje sasa uuuuwiii
Uuuwii i wanna be your men, naupendaje aaa would be your men, i wanna be your man!
Wanaume wazamani wacha tu hawa wa sahivi watasubiri miaka 1000
Acha tu yaani, hii ndio ilikuwa mitongozo haswaa!, mpaka mdada utafikiria mara kumi kumi kumkataa mtu. Maana heshima mbele.
Halafu sijui ni sisi tu, cos wenzetu wanashauri mpaka maneno ya kuongea ili U impress mtu.
Sio kama hawa anaanza kukuita mke wakati hata hajui last name yako. [emoji2]