Msaada: Tumetapeliwa!

Kabisa mkuuu kuna laini kibao zinauzwaa kwa watu ambao sio Wamiliki halali...!!! Noma sanaa safari bado ni ndefu sio kitoto
 
Shida mtu akitapeliwa LAZIMA achanganye Ukweli na Uongo ili asionekane boya sana.

Kwa maana utapeli wakati mwingine huwa hadi mwenyewe unakuwa huamini kama umepigwa kiboya hivyo ni kama nguvu za giza zimetumika.

FUNDISHO:Ipe simu yako thamani ya pesa zako zilizoko bank/Mpesa/Airtel Money yaani ukiiangalia simu yako huoni TECNO bali unaona pesa zilizoko kwenye accounts zako,hautokaa umpe stranger kirahisi hivyo!
 
Wife kakuzidi akili mkuu
Kiufupi wife ndo tapeli hapo kakuchezea kiini macho hahahaa

Kesho utasikia baby naomba milion 1 siunajua nimetapeliwa sina kitu kabisa account zote
 
Just connecting dots. Wife dezaini mtundu mtundu jamaa aende extra miles. Hata Kama hakuusika ila inaweza kumsaidia time nyingine.
Vipi tena,makofi kidogo au suspension?!
 
Tupe tujifunze mkuu iko kisa chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandiko wa wife mbona unaonyesha kuwa ni mtu,kakaa pahala.na. ame relax kabisa,pengine na ka Serengeti lite kwa pembeni?!Ila basi wajuvi zaidi tuwangoje.
 
Hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu, nitafanyia kazi ushauri wako. Lakini unazungumziaje suala la kufungiwa access katika akaunti zote mbili ilhali passwords ni tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema "Ukitaka kutafuta nyoka anza kumulika miguuni pako". Mkuu hebu pia mfinye wife kidogo maana kwahiyo attachment uliyoweka hapo naona Kama wife mjanja mjanja kiaina.
Shukrani sana mkuu. Nimepokea ushauri wako, utafanyiwa kazi accordingly. Bless up!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…