Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

ama adi umejenga..!umeumiza kichwa
nazidi kuchukua mawazo mana kichwa chauma
 
Kitakachoamua kama inatosha au haitoshi ni uimara wa msingi, zege la kati na aina ya paa.
Kiujumla jumla tu jibu rahisi ni kwamba mil 85 inatosha, lakini kuwa specific zaidi ni lazima tujue surface area ya ramani yako na ubora utakaochagua.

Ninaposema inatosha nabreak down hivi:
Msingi mil 20
Zege la kati mil 20
Matofali mil 15
Mchanga, Kokoto, Mawe, maji mil 5
Mazagazaga mengine (Ufundi, nondo, mbao, mirunda, misumali) mil 20
Dharura mil 5

1. Hapo haujaweka rangi na finishing, hivyo vipengele vya milioni ishirini ni ndogo sana ingawa kwa macho na matamshi inaonekana kubwa, lets say linapokuja suala la mbao na mirunda tu si chini ya mil 10, bado haujaongelea milango, madirisha nayo inategemea ni ya aina gani alluminium? na yenyewe imegamegawanyika.

Nakushauri ujenge nyumba ya kawaida tu, halafu weka finishing nzuri, lets sya umetumia mil 50-55. Inayobaki tafuta mradi wa kufanya utakaokuwa unakuingizia pesa, usifanye mambo kwa kuwaridhisha binadamu au majirani. After all ukizeeka hiyo nyumba kubwa utabaki wewe na mkeo tu na ndipo utakapoaanza kutafuta ndugu wa kuishi nao ili mpate kampani.
 
Pia kwa kuendelea kukusaidia jaribu kufikiri gharama zifuatazo kwa nyumba ya ghorofa ndogo yenye vyumba vitatu chini kimoja self contained, choo cha public, sebule na jiko halafu ghorofa ya kwanza unakuwa na vyumba viwili vya kulala self contained, TV room, study room, 2 balcony (ya master bed room na general balcony), pia kwa nje kunakuwa kuna kastoo kadogo gharama zake inaweza kuwa kama ifuatavyo:
FOUNDATION
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Blocks1067PC-6" 1,350.00 1,440,450.00
Cement146bags 14,800.00 2,160,800.00
Nondo1412mm 18,500.00 259,000.00
Nondo2810mm 12,500.00 350,000.00
Nondo86mm 6,500.00 52,000.00
Binding wire13kg 3,000.00 39,000.00
Mbao 8*1244.5mt 11,250.00 270,000.00
Mbao 2*2124.5mt 4,950.00 59,400.00
Misumari 4"8kg 3,000.00 24,000.00
Misumari 3"3kg 3,000.00 9,000.00
Kudu Rola 1Rola 6,000.00 6,000.00
Mawe11trip 7tones 80,000.00 880,000.00
Mchanga6trip 7tones 90,000.00 540,000.00
Kokoto4trip 7tones 180,000.00 720,000.00
Moram3trip 7tones 65,000.00 195,000.00
7,004,650.00
WALL
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Blocks1898PC-6" 1,350.00 2,562,300.00
Blocks1204" 1,150.00 138,000.00
Cement36bags 14,800.00 532,800.00
Cement (Nguzo)15bags 14,800.00 222,000.00
Nondo1312mm 18,500.00 240,500.00
Nondo136mm 6,500.00 84,500.00
Binding wire7kg 3,000.00 21,000.00
Mchanga4trip 7tones 90,000.00 360,000.00
Kokoto1trip 7tones 180,000.00 180,000.00
Misumari 4"6kg 3,000.00 18,000.00
Misumari 2" 1/22kg 3,000.00 6,000.00
4,365,100.00
SLUB
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Mbao 8*11464.5mt 11,250.00 1,642,500.00
Mbao 6*1664.5mt 7,200.00 475,200.00
Mbao 4*2464.5mt 7,650.00 351,900.00
Mbao 2*2284.5mt 4,950.00 138,600.00
Misumari 4"45kg 3,000.00 135,000.00
Misumari 3"28kg 3,000.00 84,000.00
Misumari 2" 1/218kg 3,000.00 54,000.00
Mirunda (Nguzo)116pc 2,500.00 290,000.00
Nondo216mm 22,500.00 45,000.00
Nondo7312mm 18,500.00 1,350,500.00
Nondo14110mm 12,500.00 1,762,500.00
Nondo456mm 6,500.00 292,500.00
Binding wire56kg 3,000.00 168,000.00
Cement94bags 14,800.00 1,391,200.00
Round box20pcs 400.00 8,000.00
Mchanga 3trips 7tones 90,000.00 270,000.00
Kokoto3trips 7tones 180,000.00 540,000.00
Congreat pipe30pcs 1,000.00 30,000.00
9,028,900.00
Hight Flow Wal and Gebo
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Blocks14766" 1,350.00 1,992,600.00
Cement (Kujengea)28Bags 14,800.00 414,400.00
cement (Lenta Juu)14bags 14,800.00 207,200.00
Mchanga 2trips 7tones 90,000.00 180,000.00
Kokoto itabaki toka slub
Mbao na misumari vitatumika toka slub na (nguzo) mirunda
2,794,200.00
Roof
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Mbao za kench
4*22505mt 8,500.00 2,125,000.00
3*2705mt 6,500.00 455,000.00
Fisherboard 10*1266mt 18,000.00 468,000.00
Makoa1makoa 15,000.00 15,000.00
Misumari 6"18kg 3,000.00 54,000.00
Misumari 5"12kg 3,000.00 36,000.00
Misumari 4"36kg 3,000.00 108,000.00
Misumari 3"8kg 3,000.00 24,000.00
Bati za south 3mt126 3mt 37,500.00 4,725,000.00
Bati za south 2mt402mt 25,000.00 1,000,000.00
Misumari12kg 25,000.00 300,000.00
Kofia 12pc 9,000.00 108,000.00
9,418,000.00
Draft
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Mbao za draft
3*3784.5mt 5,850.00 456,300.00
2*21624.5mt 4,950.00 801,900.00
Misumari 4"56kg 3,000.00 168,000.00
Misumari 3"12kg 3,000.00 36,000.00
Gypsum ndani52pcs 12,500.00 650,000.00
Gypsum nje14pcs 12,500.00 175,000.00
Mikanda116pcs 6,000.00 696,000.00
Misumari ya gypsum14kg 3,500.00 49,000.00
3,032,200.00
Plaster
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Cement ndani98bags 14,800.00 1,450,400.00
Cement nje56bags 14,800.00 828,800.00
Chokaa34bags kilo25 3,500.00 119,000.00
Congcreat pipe40pcs 1,000.00 40,000.00
Round box24pcs 400.00 9,600.00
Square box56pcs 600.00 33,600.00
Mchanga 6trip 7tones 90,000.00 540,000.00
3,021,400.00
Labor
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Labor -
Chemba kujenga na finishing1shimo 250,000.00 250,000.00
Shimo la square 1shimo 380,000.00 380,000.00
Shimo la round kupanga mawe pamoja na kuchimba1shimo 760,000.00 760,000.00
1,390,000.00
System Maji Taka
ParticularsUnitTypeUnitTotal
Chembe Blocks 6"55pcs 1,350.00 74,250.00
Cement Kujengea/finish8bags 14,800.00 118,400.00
Shimo la square blocks 6"280pcs 1,350.00 378,000.00
Cement 12bags 14,800.00 177,600.00
Shimo la round mawe 6trips 7tones 80,000.00 480,000.00
Cement kujengea finish15bags 14,800.00 222,000.00
Nondo 18pcs 12mm 18,500.00 333,000.00
Reli6pcs bei kwa futi
pc 2-3.5mt2pcs 15,750.00 31,500.00
3mt2 pcs 13,500.00 27,000.00
2mt2pcs 9,000.00 18,000.00
Binding wire7kg 3,000.00 21,000.00
Mifuniko ya chembe ya Jandu -
18"*18"12pcs 72,000.00 864,000.00
15"*15"4pcs 60,000.00 240,000.00
2,984,750.00
Grand Total 43,039,200.00
Labor 14,346,400.00
57,385,600.00
Note:
1. Finishing kama vile madirisha, milango, tiles, plumbering, wiring, gypsum na mengineyo hayajaingizwa
2. Labor ni makadirio ya 1/3 ya kila hatua ya ujenzi lakini bado unaweza kujadiliana na fundi wako
3. Bei nyingi si updated-yaani makadirio ya 2010
4. Fensi, outdoor finishing kama vitofali zege na makorombwezwo navyo havijaingizwa katika makadirio haya
5. Mapambo memngineyo kama wall brackets, taa havijaingizwa


 
bila shaka hilo lingewezekana iwapo dr slaa angekuwa rais coz vifaa vya ujenzi vingekuwa chini
piga mahesabu kuwa kwa sasa kila square mita moja laki 4,je we jengo lango litachukua square mita ngapi?
 
Zinatosha, kwa sababu zifuatazo:


  1. Iwapo utasimamia mwenyewe kwa kushirikiana na fundi mjenzi mzoefu. Mkubaliane akupe hesabu za kila wiki.
  2. Usijenge nyumba ya kifahari. Jenga nyumba yenye mchoro mzuri, tofauti na nyingine. Mtafute Architech mzuri. Wapo, tena wale wa mtaani ndio hawana shida. Pia, unaweza ku-Google design za nyumba kwenye Internet, kisha ukampa Draughtsman, akakuchorea ramani na ikapata kibali cha Manispaa. Mara nyingi ni rahisi kufanya kazi na Draughtsman kuliko Architect. Lakini wanafanana kiasi.
  3. Usimwoneshe fundi mkuu kwamba una pesa. Atakuwekea hesabu za kijanja, pesa itaisha KABLA ya nyumba.

Ni hayo tu. Hongera.

P.S. Sikushauri kujenga ghorofa.
 
Yah inaweza kujenga Ghorofa moja isiyo zidi nguzo 24
Wadau,
Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji,
Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari ninacho,
Nauliza tu kwa mgao huu naweza kupata Nyumba ya Ghorofa 1 kwa mahesabu ya Fundi + Materials??
 
Back
Top Bottom