Msaada toka kwenu

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Nalipenda sana jukwaa hili kwa kuwa kunawataalamu ambo wamejitolea kuwasaidia wengine kwa upendo mkubwa. Mimi pia ni mmoja wa watu walinufaika na jukwaa hili.
Leo naomba msaada toka kwenu nahitaji kununua router ambayo itanisaidia kukonect Computer kama tano hivi. Hiyo router iwe na uwezo wa kuwekwa moderm halafu isambaze kwenye hizo computer kwa kutumia wire. Jamani hapo ndiyo mwisho sijui nimeeleweka. Naomba mawazo na ushauri wenu.
 
Very very simple! Router kwa ajili ya functionality ndogo namna hiyo ziko nyingi ---
You just buy DLink, it actually has 4 Ethernet ports for cable connections

So kama mahitaji yako ni computers tano, then angalia uwezekano wa kuunganisha moja ya hizo computers through wireless. kama computer zote hazina wireless cards au unayo special issue ya kuchagua cable connections then itabidi ununue extended ethernet switch ili kupata more ports
 
Tatizo ni kwamba hizi router zinazochukua modem haziko compatible na modem zote za mitandao yote so ni lazima uangalie unatumia modem gani kisha cheki kwenye site ya anayetengeneza hiyo router kama iko compatible na hiyo modem.
Baada ya hapo ni maamuzi ya kawaida tu, kama unahitaji 5 ports base hakikisha inazo hizo 5 ports au zaidi au nunua switch au hata hub ambayo itatanua idadi ya ports.
 
Nashukuru sana kwa mawazo yenu nayafanyia kazi najua nitafanikiwa nitarudi tena baada ya kufanyia kazi mawazo hayo.
 
Back
Top Bottom