NMB open bank project APIs (sandbox)

Rabonn

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
5,733
10,928
wakuu wa jukwaa hili, heshima kwenu.
Kama kichwa kilivyo hapo juu, please nahitaji sana kueleweshwa kuhusu hii open bank project ya nmb bank ambapo unaweza kutumia APIs zao walizotoa kwa ajili ya ku utilize kwenye application/ system solutions zako unazo tengeneza kuwapatia clients wako nmb services ukiwa kama third party (kama sijaelewa vibaya lakini).

Ninaomba sana msaada wenu katika kulielewa jambo hili kwasababu naliona kama kwangu limekua complicated. ziko tofauti sana na APIs kama zile za platform za BeemAfrica ambazo integrattion zake ziko very straight forward na documentation zao zinajieleza vizuri sana , dakika 0 tu unaweza kutumia na ku activate kwenye mifumo yako ila hiz hazika straight kabisa.

I will compansate for your time if you feel to assist me on this please.

ofcourse nilishaafanya zile preliminary procedures like registrations tayari and i have been provided with the consumer ID, consumer key and consumer secrete tayar
Hivyo issue nayo kumbana nayo ni katika namna ya kutumie zile connection SDKs zao and am so interested on Php sdk.



Naomba kuwasilisha

Ahsante sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom