D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,178 Sep 22, 2025 #21 Savimbi Jr said: Timber Land Boot zilikuwa deal sana Miaka ya 2002 ukitinga unaoneka mshua. Click to expand... Arusha mpaka Sasa Bado ni dili sana
Savimbi Jr said: Timber Land Boot zilikuwa deal sana Miaka ya 2002 ukitinga unaoneka mshua. Click to expand... Arusha mpaka Sasa Bado ni dili sana
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,696 Reaction score 24,745 Sep 22, 2025 #22 RRONDO said: Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia Click to expand... Nimetumiwa from uingereza icho kidude siwezi kukipata
RRONDO said: Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia Click to expand... Nimetumiwa from uingereza icho kidude siwezi kukipata
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 16,724 Reaction score 31,050 Sep 22, 2025 #23 Savimbi Jr said: Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU. Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004. Click to expand... Wakati unaandika Uzi huu original zilikuwapo pale IT Plaza mjini Posta Dar. Kuna duka wanauza madundo ya maana. Ngozi OG tupu. Bei zao chafu, zinagonga kuanzia 70K, hadi jiwe kadhaa. Hiyo Timbz itakuwa 100K hadi 150K.
Savimbi Jr said: Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU. Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004. Click to expand... Wakati unaandika Uzi huu original zilikuwapo pale IT Plaza mjini Posta Dar. Kuna duka wanauza madundo ya maana. Ngozi OG tupu. Bei zao chafu, zinagonga kuanzia 70K, hadi jiwe kadhaa. Hiyo Timbz itakuwa 100K hadi 150K.