Msaada tecno H6 line 1 inakaa sehemu gani ?

Msaada tecno H6 line 1 inakaa sehemu gani ?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Habari JF natumia tecno H6 naomba msaada wa kufahamishwa line one inawekwa wapi.
 
Kaka hio simu haina kitabu au manual yoyote inayoonyesha namna kuiset up kabla hujaanza kuitumia?
 
Kwa ndan chini ya inapokaa sim card 1
 
Angalia vizuri, ila line 2 lazima iwe min yani iwendogo sio sawa na line one.
 
Back
Top Bottom