Msaada:tatizo kwenye windows 8

Msaada:tatizo kwenye windows 8

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
HABARI ZENU WAKUU NATUMAINI WOTE MU WAZIMA.NINAOMBA KWA YEYOTE YULE AMBAYE ANA UELEWA,NI HIVI LEO NIMEAMUA KUPIGA CHINI WINDOWS 7 ULTIMATE NIKA INSTALL WINDOWS 8 SASA TATIZO LINAKUJA HIVI,NIKIWASHA PC WAKATI INA BOOT INAKUWA INA MWANGA WA KAWAIDA ILA IKISHAMALIZA KU BOOST IKIWA IMEWAKA MWANGA UNAKUWA HAFIFU SANA NA NIMEJARIBU KUONGEZA KWA KUTUMIA KEYS ZA fn NA ARROW KEY KAMA NILIVYOKUWA NAFANYA WAKATI NATUMIA WINDOWS 7 NAONA IPO VILE VILE TU NA NIMEGUNDUA PIA HATA NIKIPUNGUZA BADO HAUPUNGUI YAANI KWA KIFUPI MWANGA UPO CONSTANT HAUPUNGUI WALA HAUONGEZEKI,NINAOMBA MSAADA NINI NIFANYE ILI KUONGEZA MWANGA MAANA IMEKUWA TOO MUCH LOW AISEE.NITASHUKURU SANA KWA YEYOTE YULE ATAKAYEJITOLEA KUNIPA MAELEKEZO NI NINI CHA KUFANYA ILI NITATUE HILI TATIZO IKISHINDIKANA KABISA NIRUDI ZANGU TU WINDOWS 7.ASANTENI.
 
nenda computer then properties then retrieve system rating (make sure pc yako unaichaji)

then angalia score kama kwenye graphics una moja ina maana machine yako imemiss vga driver (ambayo ndo nahisi source ya tatizo)

kaidownload kwenye website ya pc yako hope utatatua tatizo
 
nenda computer then properties then retrieve system rating (make sure pc yako unaichaji)

then angalia score kama kwenye graphics una moja ina maana machine yako imemiss vga driver (ambayo ndo nahisi source ya tatizo)

kaidownload kwenye website ya pc yako hope utatatua tatizo

asante mkuu,nimejaribu kufanya kama ulivyonielekeza inasema ni 3.2 SASA SIJUI HAPO NATAKIWA NIFANYE NINI ILI NITATUE TATIZO?
 
3.2 ina maana ipo jaribu kugoogle maybe lishakua solved tatizo lako
 
Nadhani jaribu kuipatch to the foolest,prrobably ni issue ya some drivers compatibility.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
usitumie button, sogeza cursor upande wa kulia mwisho wa skirini kitatokea kipopup kina option za kuadjust mwanga, internet na vingine.
jaribu

settings-charm-bar.jpg
 
usitumie button, sogeza cursor upande wa kulia mwisho wa skirini kitatokea kipopup kina option za kuadjust mwanga, internet na vingine.
jaribu

settings-charm-bar.jpg


hii mimi ndio ninayoijua easy way,kama tatizo lake halipo katika missing drivers
 
Asanteni wakuu kwa mchango wenu mlionipa kwani nashukuru sasa pc imekaa kwenye mkao,pamoja sana.
 
Habari zenu wakuu,tatizo ni hii pc yangu nilikuwa natumia windows 7 ultimate nikatokea kuipenda windows 8 so nikajaribu kutupia windows 8 lakini hii windows ikawa inasumbua mara mwanga hafifu mara sijui nini nikarudi zangu 7,sasa jana nikaamua kujaribu tena kuinstal windows 8 ilikaa ikatulia japo nilipojaribu kuinstal bluetooth application na baazi ya vitu vilikataa nikaona sio tatizo nikaendelea kuitumia hivyo hivyo sasa leo nimepatwa na mshituko baada ya kuwasha pc ina boot kama kawaida na inafika sehemu ya kuingiza password nikishaingiza napiga enter ina load kama kawaida then inaleta tu black screen na cursor basi,naombeni msaada wenu jamani nifanye nini na image files za windows zote zipo humo na laptop ndio imegoma kuwaka so itakuwa ngumu kupiga windows nyingine na huku niliko hakuna mwenye cd za windows, kwa kweli najuta kutumia windows 8 kwani kuna mtu aliniambia mapema kuwa huwa inazingua coz haitakagi disturbance,naombeni tu msaada nifanye nini ili iwake tu jamani,najuta na sirudii tena kutumia windows 8 nimekomaaaaaaaaaaa.
N.b:specifications za latop ni;2.7 duo processor,2gb ram na hdd ni 160gb.asanteni.
 
hzo Iso Image Kama Unahtaj Kuzipata Download Ubuntu Then I Extract Kwenye Flash Then usi Install click Sehemu Ya Ku Try ... chomeka Usb Nyngne Then send Hzo Iso Kwenye flash Nyngne Ulowekaka!! ubuntu 12.10 Ina Mb 600 So Not That big!! kuhusu Ku Extrack Kuna Njia Nyng Ila Tumia Winzipp Au Winrar then Iset Iwe Inasoma Iso
 
Back
Top Bottom