1.Kuwa sawa kwa imei na simu nyingine haiwezi kufunguwa kamwe maana mie natumia simu haukulipiwa ushuru ikafungiwa na nimeiwekea imei za simu ya tecno na ninaitumia safi tu.
2.badili laini zingine uone je nertwok inapanda?
3.ikigoma i-ristall simu na kisha jaribu tena zoezi namba mbili.
ikigoma hapo kwa kuwa hauna kifaa cha kupimia fanya hivi ili ujue kama ni tatizo la hardware ama software
-Download ODIN
-Download Firmware ya Simu Yako
-Download USB Driver za Samsung
-Kisha Soma Maelezo how To Use ODIN Hapo Utaweza Kuiflash Simu Yako.
4.Sasa Kama Umefanya option namba 3 Afu imegoma Basi jiandae Kama Elfu 25-35 utaenda kwa fundi kuna kifaa fullani Cha Nertwok Kinakuwa Kimekufa Na hili Ni mojawapo ya Tatizo Kubwa La Simu Za Samsung